Wayahudi na wasabato wanaendelea kuabudu sabato ya Jumamosi ambayo hata Yesu aliiabudu, ni nani aliibadili iwe Jumapili

TUSISUMBUKE SANA NA KUJUA LINI SIKU YA KUABUDU.
TUTAFUTE KUWA WASAFI WA MIOYO YETU.
Usilete visingizio, Ushaambiwa iabudu siku ya sabato, Na hio ni amri sio ombi
 
Usilete visingizio, Ushaambiwa iabudu siku ya sabato, Na hio ni amri sio ombi
Sawa,
Kuabutu siku ya sabato sio utakatifu ujue.
Kuna watu wana swali kila baada ya masaa kadhaa.
kuvaa bomu na kwenda kuua watu sio hofu yake wala dhambi zake
 
Sawa,
Kuabutu siku ya sabato sio utakatifu ujue.
Kuna watu wana swali kila baada ya masaa kadhaa.
kuvaa bomu na kwenda kuua watu sio hofu yake wala dhambi zake
Ni sehemu moja wapo ya kumtukuza Mungu alietoa Amri ya kuitukuza Sabato
 
Maana ya Sabato ni nini? Ni kwamba ni siku ambayo Mungu alipumzika katika kalenda yetu hii ya Jumatatu hadi Jumapili au Sabato ni siku ambayo watu hukusanyika kumwabudu Mungu na siku hiyo inaweza kuwa kati ya hizo siku? Swali langu linauliza sabato maana yake ni kuhesabu (1 hadi 7) then unapumzika au sabato ni siku waumini wanayokusanyika kumwabudu Mungu?
 
Ni Kweli sabath ni Jumamosi.

Wasabato mnakosea kuabudu siku.

Siku haitakiwi kuabudiwa. Anaabudiwa Mungu, siku hiyo ni kumbukumbu ya kukumbuka Uumbaji wa Mungu.

Siku hiyo ni siku ya KUFUNGA. Baasi.
 
Tupe msitari wa biblia kuthibitisha usemacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…