sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #21
Usilete visingizio, Ushaambiwa iabudu siku ya sabato, Na hio ni amri sio ombiTUSISUMBUKE SANA NA KUJUA LINI SIKU YA KUABUDU.
TUTAFUTE KUWA WASAFI WA MIOYO YETU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usilete visingizio, Ushaambiwa iabudu siku ya sabato, Na hio ni amri sio ombiTUSISUMBUKE SANA NA KUJUA LINI SIKU YA KUABUDU.
TUTAFUTE KUWA WASAFI WA MIOYO YETU.
pasaka mnasherekea nini ?Jumapili tunasheherekea ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo
Sawa,Usilete visingizio, Ushaambiwa iabudu siku ya sabato, Na hio ni amri sio ombi
Ni sehemu moja wapo ya kumtukuza Mungu alietoa Amri ya kuitukuza SabatoSawa,
Kuabutu siku ya sabato sio utakatifu ujue.
Kuna watu wana swali kila baada ya masaa kadhaa.
kuvaa bomu na kwenda kuua watu sio hofu yake wala dhambi zake
Maana ya Sabato ni nini? Ni kwamba ni siku ambayo Mungu alipumzika katika kalenda yetu hii ya Jumatatu hadi Jumapili au Sabato ni siku ambayo watu hukusanyika kumwabudu Mungu na siku hiyo inaweza kuwa kati ya hizo siku? Swali langu linauliza sabato maana yake ni kuhesabu (1 hadi 7) then unapumzika au sabato ni siku waumini wanayokusanyika kumwabudu Mungu?MARI YA NNE: Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako
Tusiingie sana kwenye hizi dini na sheria zao bali tuzungumzie siku ya kuabudu.
Siku ya Jumamosi ndio iliyotengwa kuwa ya kisabato tangu zamani kwa wayahudi, nikimaanisha ya kwamba kina Musa hadi Yesu ndio waliiabudu hio siku na kuitakasa kuwa siku takatifu, Ni mpaka leo ukienda Israel siku ya Jumamosi maduka mengi na ofisi nyingi hufungwa kuruhusu watu waiabudu siku ya sabato.
Na hata kwa wasabato hata wa hapa kwetu, wengi wenye biashara huwa hawafungui jumamosi
Ilikuwaje ikabadilishwa kuwa jumapili ?
Tupe msitari wa biblia kuthibitisha usemacho.Sabato inayofuata matendo ya mwilini ilipitwa na wakati wake ikaja sabato ya rohoni. Agano la kale na agano jipya pambanua hapo. Ukisema ni warumi ndio walioanzisha sabato jumapili na ikapokelewa hivyo mpaka leo itakuwa haina maana kwani sabato ya sasa haiangalii siku
wa nini wakati huna imani?Tupe msitari wa biblia kuthibitisha usemacho.
Hata tukisali usiku tuu sawa?TUSISUMBUKE SANA NA KUJUA LINI SIKU YA KUABUDU.
TUTAFUTE KUWA WASAFI WA MIOYO YETU.
Twende na maandiko Luka 4:16wa nini wakati huna imani?