Njoo huku sumbawanga na 1m, madai yako yote yanalipawa ukiwa hapa hapa.Nishaandika sana na nishalalamika Sana,
hawa jamaa wa serikali wana dharau sana
Usichoke jomba wala usikate tamaaa endelea kuwadai 😁mimi nimedai mwaka wa 6 huu nimeamua kuacha tu. Serikali imenidhulumu sana.
Jamn wapi huko tuka muungishe😂😂😂 haki ccm sio watuKaanzisha genge la kuuza nyanya, mchicha, vitunguu etc ila pilipili mbuzi ndiyo nyingi
JK aliwahi kusema "...ili ule lazima uliwe"Labda niulize wazabuni wengine hizi changamoto za kucheleweshewa malipo mnashughulika nazo vp??
Jamaa alitoa kabisa machozi!! Jamaa wanamchola tu!! Wakati alitumia mtaji, akili, nguvu kuwafanyia kazi yao. Nobody cares.
Aaah qmmk walahKaanzisha genge la kuuza nyanya, mchicha, vitunguu etc ila pilipili mbuzi ndiyo nyingi
😆😆😆😁🤣😅View attachment 3349486Huyu Mzee Hadi alipiga ngolo lakini wapi?
Wafungulieni mashtaka
Nobody but godWho cares!!!
Nafkri mkiungana mka dai kwa pamoja mtalipwaMimi nko Arusha imetokea kuna ujenzi wa shule tenda inawekwa nest maana yake mimi mfanyabiashara wa arusha inabidi nipambane na wafanyabiashara wengne toka dar na mikoa mingne ya jiran,
Sasa inakubidi uweke bei ndogo sana ili hiyo tenda isiende kwa wafanyabiashara wa dar afu mwisho wa sku unashinda tena unasapply malipo yanachelewa wanakulipa wanavyo taka
Kutia tu signature kwenye cheque mtu alipwe utaambiwa mara mkurugenzi yuko dodoma vikao mara mkurugenzi au DC wako kwenye ziara unakaa miezi hujalipwa
Pole sana,mimi niliachaga zamani,na sasa ni vizuri kushiriki agenda ya NO REFORMS NO ELECTIONHivi najiuliza hawa viongozi wa taasisi za umma wanaotoaga order za mahitaji kwa wazabuni, wanadhani wazabuni wana visima vya pesa.
Hawajali kabisa kulipa kwa wakati!! Nakumbuka Magufuli aliwahi kuwaambia hizi taasisi za umma kama huna hela usiagize bidhaa kwa mzabuni, ila sasahivi Jamaa kama wanatukomoa!! Labda niulize wazabuni wengine hizi changamoto za kucheleweshewa malipo mnashughulika nazo vp??
Maana marejesho yatatuoa roho. Majibu yao Jamaa ni rahisi tu, wanakwambia hawajapata hela!! Sasa mliagiza bidhaa ili iweje? Kwa kweli hizi taasisi ndo zinafilisi wazabuni.
Huwezi kupiga hatua kwa biashara ya namna hii ambayo mtu anakulipa kadri anavyojisikia. Basi wafanye biashara na SUMA JKT sisi raia waseme kabisa haturuhusiwi.
Ina kera sana 😬😬😬
MKUU KAMA HUJAWAHI KUINGIA KWENYE HUU MCHEZO HUWEZI KUMUELEWA MLETA MADA.Nafkri mkiungana mka dai kwa pamoja mtalipwa