Kitu ambacho nafikiria unakuta Kuna tasisi mfano (USAID)zinatoa msaada wakusapot project mfano 40% ya fedha ,ila 60% inabaki kwaaliesaidiwa lakin ukija kwenye hiyo 40% unakuta imewekewa mdaa mfano mienzi mitano project iwe imekamilika Sasa hiyo 60% inapatikanaje kwa haraka naunakuta kwenye account ela haitoshi , ndio pale wazabuni wanangaliwa nakupewa tenda kwa mategemeo yakwamba wakat mzabun anaendelea na project wao wanaendelea kujikusanya.MKUU KAMA HUJAWAHI KUINGIA KWENYE HUU MCHEZO HUWEZI KUMUELEWA MLETA MADA.
Kwaupande wangu nafikiri itakua hvyo sababu kama ela ipo kwann wasilipe