Kitu ambacho nafikiria unakuta Kuna tasisi mfano (USAID)zinatoa msaada wakusapot project mfano 40% ya fedha ,ila 60% inabaki kwaaliesaidiwa lakin ukija kwenye hiyo 40% unakuta imewekewa mdaa mfano mienzi mitano project iwe imekamilika Sasa hiyo 60% inapatikanaje kwa haraka naunakuta kwenye account ela haitoshi , ndio pale wazabuni wanangaliwa nakupewa tenda kwa mategemeo yakwamba wakat mzabun anaendelea na project wao wanaendelea kujikusanya.
Kwaupande wangu nafikiri itakua hvyo sababu kama ela ipo kwann wasilipe