Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Haya jamani. Huku kwetu ndio jua linazama saa hizi. Ngoja nikafuturu kwa jarani yangu.

Baadae.
 
Nimekutafuta sana.

Sijui niseme jana.

Kumbe upo huku!!

Kwanza unatokea Tanga?

Nipo Mwifwa ila jana nilikuwa na mambo mengi ya kufanya nyumbani , huku niliingia kwa muda mfupi.

Tanga ndio nyumbani [emoji2]
 
Back
Top Bottom