Hiyo damu mnayomwaga itahesabiwa juu yako na juu ya hao wajinga wenzio!
Nawaiteni wajinga sababu hamjui hasa mnachokihitaji, wazanzibari hamjui mnashida gani na nini mnahitaji kwa ajili ya utatuzi wa shida zenu. kwa mtu yeyote mwenye ufahamu na akili timamu akisoma oroza ya hao unawahita maadui wa zanzibar atakuoneni ni wajinga sana na wapuuzi!
Zanzibar ni nchi yenye raisi, makamu wawili wa raisi, mawazili, wawakilishi, wakurugenzi, inajeshi - KMKM na vitu gani sijui, wizara zote kamili hispokuwa mbili tu za muungano. Dini ya kiislam ni zaidi ya 95%. Sasa kinachowafanya mpige kelele na kuanza kuua watu ni hizo wizara mbili za muunganino au 5% ya watu ambao si waiislam? ....ama ujinga tu. Je mnataka nn wajinga nyie?
Kwa ufupi zanzibar haina tofauti na nchi kama Rwanda, Zanzibar ni nchi ndogo inaserikali kamili kama Rwanda, tofauti iliyopo na nchi kama Rwanda (nchi inayoonekana kupiga maendeleo vizuri) ni UJINGA tu! Ujinga wa Wazanzibar na viongozi wenu!