Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika.....
Wengi wanaoupinga na kuukosoa vibaya muungano ni WATU WANAOANGALIA MAMBO KIFUPI/WAROHO WA MADARAKA/WABAGUZI NA WASIOPENDA UMOJA WETU WA KITANZANIA NA KIAFRIKA!!!
Siempre JMT
Kwani Uhuru umetusaidia nini mpaka Leo hii. Miaka 60 ya uhuru bado umasikini umeongezeka, maji umeme na elimu duni. Nasema hivi hata Mwl Nyerere mwenyewe alikuepo binadam kumkosoa sio mbaya Ila. Kwa haraka Sana muungano umesaidia kuiendeleza Zanzibar na kuirudisha nyuma Tanganyika huo ndio ukweli ambao haupingiki.Nyerer aliipigania uhuru nchi kwa hio yafaa aheshimiwe, maamuzi aliyofanya yalikuwa ya kimkakati zaidi kuja kutufaiasha...
Nyerere na muungano sio mapacha.Nyerer aliipigania uhuru nchi kwa hio yafaa aheshimiwe, maamuzi aliyofanya yalikuwa ya kimkakati zaidi kuja kutufaiasha...
Ni kweli kabisa mkuu. Hata kambona asingekuwa kiongozi mwingine angekuwepo tu na tungekuwa wananchi mahali. Hii ya kumtukuza mtu mmoja saana kama vile Mungu wakati mikono yake hata sio safi sana Mimi linanipa ukakasi sanaNadhani baba wa taifa angekuwa Kambona, hadi sasa nchi ingekuwa imefika ilipofikia kwa mawazo ya Kambona
Zamani hizo enzi za vita baridi kwasasa muungano ni hasara kwa Tanganyika.Nyerer aliipigania uhuru nchi kwa hio yafaa aheshimiwe, maamuzi aliyofanya yalikuwa ya kimkakati zaidi kuja kutufaiasha...
Mwega ndio kitu gani?Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha, jinsi ya utawala halali wa kIzanzibar kabla ya kuja mapinduzi ambayo yamepelekea athari kubwa miongoni mwa Jamii ya Wazanzibar hadi leo hii...
Hivi Comoro iliwahi kutumika kimkakati kupora Ardhi ya Msumbiji?Nyerer aliipigania uhuru nchi kwa hio yafaa aheshimiwe, maamuzi aliyofanya yalikuwa ya kimkakati zaidi kuja kutufaiasha...
Nyie wazanzibari anzeni kukichafua huko na sisi tutafuata.Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha...
Kichafuliwe mala ngapi,waZenji tokea zamani wanaubomoa Muungano na wamefika mbali,tatizo huko mmerizika kukoloniwa na CCM, sasa mnaitwa magaidi.Nyie wazanzibari anzeni kukichafua huko na sisi tutafuata
Hata mimi muungano siutaki kwa kweli
Binafsi nawakubali sana wazenji kwa kukichafua lakini ndio hivyo ila kiukweli kweli huu muungano umekaa kinyonyaji tuKichafuliwe mala ngapi,waZenji tokea zamani wanaubomoa Muungano na wamefika mbali,tatizo huko mmerizika kukoloniwa na CCM ,sasa mnaitwa magaidi...
Nyerer aliipigania uhuru nchi kwa hio yafaa aheshimiwe, maamuzi aliyofanya yalikuwa ya kimkakati zaidi kuja kutufaiasha.
Najua watu wanalalamika na kusikia maumivu wanapoona wazanzibar inabidi wapewe asilimia 21 za ajira Tanzania, kupewa uongozi sekta / taasisi nyeti, kuwa na vitambulisho vyao, kumiliki ardhi, n.k. hivi ni vitu vidogo sana na ilibidi wapewe ili wakubali muungano.
Faida moja wapo kwa Tanganyika kwenye huu muungano ni ulinzi, Zanzibar ipo eneo ambalo limekaa kimkakati, inaweza kutumika kimkakati kuivamia Tanzania bara na kupora ardhi.
Nashangaa sana watu wanaompinga Nyerere
nani anataka kumvamia Tanganyika kwani?
Na wewe 😛Sasa kama hamuwataki watanganyika mnataka muungano na nani? Madagascar?
Sasa kama hamuwataki watanganyika mnataka muungano na nani? Madagascar?