Wazanzibar hatuutaki Muungano na Tanganyika

Wanataka wa Oman hahahah wanajikuta waarabu kisa huo ushomeshombe afu sijui kwanini wanapenda kutuita Chogo au kisa vichwa vyao havina vichogo [emoji1787][emoji1787][emoji38]
Kwani kuungana si mtu hiari yake ? au mpaka apate kibali kutoka mizimu ya Butiama na Chato ?
 
Kama kweli wazenj hawataki muungano wavunje sasa hivi, Rais wa jamhuri kwa sasa ni mzenj, na ana nguvu ya kufanya hayo.
Ifikie mahala tuheshimiane ama kila mtu arudi kwao.
Kama vidume kweli huu mdio muda muafaka wa kuuvunja muungano,
 
Tuvunje vipi na kila mtaa muweweka kambi za jeshi pamoja na wale watu wasioonekana wasiohesabika , mpaka wamasai wasio na ng´ombe mumewaleta

Huyo Rais muliyemweka hazimi hawashi ni kijisanturi tu , na ndio mukamweka dada hamkumweka kaka
 
Mama naye ni binaadamu pia, ana akili kama mzenj mwengine na ana utashi ni uzalendo wa kizenj, pia yuko Dr Hussein Mwinyi pia.
Mna maraisi wawili wakae waamue kuuvunja muungano, mkishindwa sasa hivi itaonekana mnatufanyia dhihaka, mnaupenda muungano na wadanganyika ila mnajifanya hamuutaki.
Washaurini wenye mamlaka maraisi wazenj wavunje.
 
Huyu Hussein ni kijana wa Mkuranga kaletwa kuimaliza Zanzibar, Na tunamwona ameanza kuuza visiwa vidogo vidogo Na mashule kuyageuza masoko , ndiye Mkoloni mwenyewe wa Tanganyika, huyo mama ni CCM Na wavamizi ndio wamemvisha kilemba , ni boya Tu hawashi hazimi
 
Back
Top Bottom