Kwani kuungana si mtu hiari yake ? au mpaka apate kibali kutoka mizimu ya Butiama na Chato ?Wanataka wa Oman hahahah wanajikuta waarabu kisa huo ushomeshombe afu sijui kwanini wanapenda kutuita Chogo au kisa vichwa vyao havina vichogo [emoji1787][emoji1787][emoji38]
Kama kweli wazenj hawataki muungano wavunje sasa hivi, Rais wa jamhuri kwa sasa ni mzenj, na ana nguvu ya kufanya hayo.
Ifikie mahala tuheshimiane ama kila mtu arudi kwao.
Kama vidume kweli huu mdio muda muafaka wa kuuvunja muungano,
Mama naye ni binaadamu pia, ana akili kama mzenj mwengine na ana utashi ni uzalendo wa kizenj, pia yuko Dr Hussein Mwinyi pia.
Mna maraisi wawili wakae waamue kuuvunja muungano, mkishindwa sasa hivi itaonekana mnatufanyia dhihaka, mnaupenda muungano na wadanganyika ila mnajifanya hamuutaki.
Washaurini wenye mamlaka maraisi wazenj wavunje.