Hakuna cha Usalama wala nini,ni ushirikina tu wa kumuabudu Nyerere.Eti sababu za kiusalama kuvunja muungano, hakuna muungano duniani wa kulazimisha kama huu wa kijinga, wananchi hatuutaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha Usalama wala nini,ni ushirikina tu wa kumuabudu Nyerere.Eti sababu za kiusalama kuvunja muungano, hakuna muungano duniani wa kulazimisha kama huu wa kijinga, wananchi hatuutaki
Sure ametuachia mzigo wa kuhudumia wazanzibar na walivyo wavivu sisi ndiyo tunaumia haswaHakuna cha Usalama wala nini,ni ushirikina tu wa kumuabudu Nyerere.
Hapo Zanzibar wataipata freshi hawana mashamba kule wanategemea Tanzania tukitengana ndio basi tena
Muungano upo mpaka kwa watu..kwani muungano ni siasa tuu??Inahusiana nini na Muungano🤷♂️
Asilimia kubwa ya wapemba wamejazana Tanzania bara biashara Zanzibar hazilipi.kwao Pemba Wala ungujaTatizo huu Muungano kuna watu wana maslahi nao binafsi na hao ndiyo wanaong'ang'ania huu Muungano lakini wajue tu huko mbele utaleta balaa kubwa watu wakisema sasa imetosha liwalo na liwe.
Rai yangu kwao wakubali tu hivi sasa kukaa chini ili kutengeneza muundo mpya utakaoondoa manung'uniko kwa pande zote mbili za Muungano.
Tatizo ni CCMKauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu wa Nyerere na Karume ambao, kwa namna yoyote ile, hauna tija kwao.
View attachment 2891578
Taabu hii haipo kwa wazaznzibar peke yao bali hata watanganyika wanahisi muungano huu umekuwa ukiwaletea shida za hapa na pale, huku serikali na chama chake wakiwa wameziba nta na pamba masikioni. Tazama jinsi watanganyika wanavyonyanyaswa nchini Zanzibar kwa kunyanganywa vifaa vyao vya kiutamaduni na kuwadhalilisha hadharani. Hii sio sawa hata kidogo.
View attachment 2891579
MAONI YANGU
Mimi nafikiri sasa ni wakati muafaka watanganyika tuondokane na huu utumwa wa kunyanyaswa na wazanzibar kila kukicha kwa kuchukua hatua madhubuti. Hatua ya kwanza ni kuwasaka wapemba waliotapakaa hapa nchini na kulipiza kisasi kama watanganyika wanavyonyanyaswa huko Zanzibar. Na hatua ya pili ni kutaifisha mali zao kwa maslahi mapana ya umma wa watanganyika.
Nawasilisha.
Haya na mimi naungana na wewe sasaMuungano upo mpaka kwa watu..kwani muungano ni siasa tuu??
Sasa mtanganyika ajitokeze waziwazi aseme haya uone kama hajatiwa ndaniKauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu wa Nyerere na Karume ambao, kwa namna yoyote ile, hauna tija kwao.
View attachment 2891578
Taabu hii haipo kwa wazaznzibar peke yao bali hata watanganyika wanahisi muungano huu umekuwa ukiwaletea shida za hapa na pale, huku serikali na chama chake wakiwa wameziba nta na pamba masikioni. Tazama jinsi watanganyika wanavyonyanyaswa nchini Zanzibar kwa kunyanganywa vifaa vyao vya kiutamaduni na kuwadhalilisha hadharani. Hii sio sawa hata kidogo.
View attachment 2891579
MAONI YANGU
Mimi nafikiri sasa ni wakati muafaka watanganyika tuondokane na huu utumwa wa kunyanyaswa na wazanzibar kila kukicha kwa kuchukua hatua madhubuti. Hatua ya kwanza ni kuwasaka wapemba waliotapakaa hapa nchini na kulipiza kisasi kama watanganyika wanavyonyanyaswa huko Zanzibar. Na hatua ya pili ni kutaifisha mali zao kwa maslahi mapana ya umma wa watanganyika.
Nawasilisha.
Kwa kuwa Zanzibar ni koloni la Tanganyika ndio maana watanganyika hawataki wazanzibar wagutuliwe kutoka usingizini. Aliyelala usimuamshe, akiamka utalala wewe.Sasa mtanganyika ajitokeze waziwazi aseme haya uone kama hajatiwa ndani
Huko sipo mkuuKwa hiyo unataka kusema tanganyika ni kama mke wa Zanzibar?
nimechekelea sana ulipotaja mawezele. napenda kwa kweljHuo Muungano haufi..hao mawaziri michepuko yao ni watoto wa bara wenye mawezele yao...
Zanzibar wamechoka na mkoloni mweus full stopWazanzibar kuoitia DC kwa kitendo cha kuwalazimisha Wamasai wavae T-Shirt na Jean eti wanabadilika ni kuwadhalilisha sana. Hivi Mzanzibar akiambiwa avae kapelo na si zile kofia zau asivae kanzu hilo ni jambo la busara!
Video, Wamasai walichokozwa kwa kunyang'anywa silaha zao na mmoja wao kuburuzwa, wakajitetea
Kutembea na fimbo au rungu au sime si tatizo. Mbona wapo huku Tanganyika hatujawahi kuona tatizo?
Ni utamaduni wao, kuwalazimisha wauache ni kuwanyanyasa
Hili linakumbusha tukio la Mama kunyang'anywa ndizi zake kwa kisingizio zinatoka nje ya nchi yaani Tanganyika.
Wao wanapoleta bidhaa wanadai Wasilipe kodi kwasababu ni nchi mmoja, tena baada ya JPM kupiga marufuku sasa hivi ni uchochoro tu wa kukwepa kodi kwa kuingiza bidhaa chini ya viwango huku Tanganyika. Wamerhusiwa!
Tukio la Mama wa ndizi na hili la Wamasai limefumbiwa macho na Rais SSH na Mwinyi kwasababu Wazanzibar wana haki zaidi ya kufanya lolote bila kuulizwa au kuhojiwa ndani ya Muungano.
Utashangaa Kauli ya Mwenyekiti Mbowe ya kuonya kuhusu Mkataba wa DP iliitwa ya kibaguzi kwasababu tu alitaja waliosaini mkataba ni Wazanzibar katika jambo lisilo la Muungano na hilo lingeleta picha mbaya
Lakini pia Watanganyika mna la kujilaumu, kwanini ninyi hamsimamii au kutetea masilahi yenu!
Mtavumilia ubaguzi na unyanyaswaji hadi lini!
Wazanzibar wamefika mahali wanawafurusha Wamasai kwasababu tu hawawataki!
Wanatukana tamaduni kwasababu tu ni Watanganyika. Nani atakayewazungumzia au kuwasemea ninyi wa Tanganyika! Hamna mahali wala chombo cha kuwatetea! Bila Tanganyika nani atawanusuru!