Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu hicho ni vitisho tu ili watu waendelee kuwa watumwa wa muungano wa kipumbavu.Kuna siku watajitenga,ila wasisahau Unguja na Pemba nazo zitataka kila mmoja afe na chake siku moja.
Nyinyi watanganyika ndio munao ulazimisha huo muungano Sasa munalalamika nini ?Sure ametuachia mzigo wa kuhudumia wazanzibar na walivyo wavivu sisi ndiyo tunaumia haswa
Mwenyewe sipo interested na Muungano, kwanza kwetu mbali sana...Mbeya(Texas), pengine nasi tukataka Uhuru wetu kule.Hakuna kitu hicho ni vitisho tu ili watu waendelee kuwa watumwa wa muungano wa kipumbavu.
Ndugu zako wamejazana kwenye idara za serikali kuanzia ngazi Kitongoji mpka Ikulu, nyie na sisi nani ananufaika?Nyinyi watanganyika ndio munao ulazimisha huo muungano Sasa munalalamika nini ?
Ni kweli Zenji mabikra wote hawana marinda?Kama wewe ni mtanganyika basi anza kufahamu hili, Siasa, imani na tamaduni za kizanzibar zimewajenga watu wake kuwachukia, kuwadharau na kuwabagua watanganyika kupita maelezo. Kila baya linalotokea Unguja au Pemba basi lawama zitapelekwa kwa mtanganyika.
Yaani mtanganyika akiwa Zanzibar, aje kutalii tu, ikiwa ataishi Zanzibar ataonekana ni raia wa daraja la chini, asiyekuwa na haki za kimsingi kama mtanzania.
Wazanzibar wengi wameaminishwa kuwa, mtanganyika amekuja kupora haki za mzanzibar, amekuja kuharibu asili na tamaduni za kizanzibar, na mwisho wa siku atawale Zanzibar.
Wazanzibar wengi wanaumia na kujisikia vibaya sana kuona mtanganyika anafaidika na kufanikiwa akiwa Zanzibar. Mabinti wa kizanzibar wengi wanawekewa kila kikwazo kutoka kwa ndugu zao wasiolewe na mtanganyika, lakini bado watanganyika wanazaa na kuoa kwa kasi mabinti wa kizanzibar.
Hali inakuwa mbaya zaidi ikiwa mtanganyika atakuwa ni imani tofauti na imani kuu inayotawala Zanzibar, asiwe na asili ya mwambao (Pwani, Tanga, Dar), awe msomi, mfanyakazi wa umma au kiwango kizuri cha kimaisha.
Pamoja na hayo yote, idadi ya watanganyika wanaokuja Zanzibar (hususani Unguja) kwa lengo la kuishi na kufanya shughuli mbali mbali kwa muda mrefu (kuhamia) inazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu, idadi ya mabinti wa kizanzibar wanaolewa na watanganyika inazidi kuwa kubwa mnoo, Imani na tamaduni za Kizanzibar zinamezwa kwa kasi kubwa mnoo. Kama hali itaendelea hivi, huenda baada ya miaka 20 ijayo, uwiano (kitamaduni, imani, umaarufu) wa Uzanzibar dhidi ya Utanganyika hapa Zanzibar ukafikia 50/50.
Ile dhana ya kusema 99.9% ya wazanzibar ni watu wa imani moja nadhani ni dhana ya zamani sana (labda miaka ya 1970-80 huko), ukiachana na upagani (ambao ndio unaozidi kushamiri Zanzibar kuliko kitu kingine chochote), kasi ya imani zingine (tofauti na imani ya asili ya wazanzibar wengi) inazidi kushika kasi Zanzibar ni kali kupita maelezo, nyumba za ibada za imani zingine zinazidi kushamiri tena katikati ya Unguja, wazanzibar wakizipokea kwa mikono miwili na kuzifurahia.
Ni ngumu kuyazuia mabadiliko ya kijamii katika ulimwengu wenye watu mchanganyiko, ni muda muafaka kwa wazanzibar kubadilisha mtazamo wa kifikra ili maisha yaendelee kwa amani.
Nawe zee zima bado unakaririshwa vistori vya kipuuzi vya miaka ya 60 hivi?!!!!Ni kweli Zenji mabikra wote hawana marinda?
Naomba maelezo zaidi eneo hili hapa mtoa mada; unakuaje huo upagani, waathirika ni kina nani (rika) na driving cause ni ipi n.k!ukiachana na upagani (ambao ndio unaozidi kushamiri Zanzibar kuliko kitu kingine chochote),
ASILIMIA 95% YA WAZANZIBAR HAWANA MARINDA ASEEE. ALLAH THE ARAB GOD HELP YOU GUYS.Nawe zee zima bado unakaririshwa vistori vya kipuuzi vya miaka ya 60 hivi?!!!!
Wahalifu (wenye kufanya hivyo) wapo na wanaojielewa (wasioshiriki upuuzi huo) pia wapo, ni mchanganyiko wa watu na matukio km ilivyo kwa jamii zingine. Huku bara tuna kina aunt Tito; bs ndo iwe sote tupewe hadhi h8yo tena?!!!! Si utakuwz utahira huo sasa?!!!!
OK, asubuhi njema!ASILIMIA 95% YA WAZANZIBAR HAWANA MARINDA ASEEE. ALLAH THE ARAB GOD HELP YOU GUYS.
Aiseeee!!!!Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu wa Nyerere na Karume ambao, kwa namna yoyote ile, hauna tija kwao.
View attachment 2891578
Taabu hii haipo kwa wazaznzibar peke yao bali hata watanganyika wanahisi muungano huu umekuwa ukiwaletea shida za hapa na pale, huku serikali na chama chake wakiwa wameziba nta na pamba masikioni. Tazama jinsi watanganyika wanavyonyanyaswa nchini Zanzibar kwa kunyanganywa vifaa vyao vya kiutamaduni na kuwadhalilisha hadharani. Hii sio sawa hata kidogo.
View attachment 2891579
MAONI YANGU
Mimi nafikiri sasa ni wakati muafaka watanganyika tuondokane na huu utumwa wa kunyanyaswa na wazanzibar kila kukicha kwa kuchukua hatua madhubuti. Hatua ya kwanza ni kuwasaka wapemba waliotapakaa hapa nchini na kulipiza kisasi kama watanganyika wanavyonyanyaswa huko Zanzibar. Na hatua ya pili ni kutaifisha mali zao kwa maslahi mapana ya umma wa watanganyika.
Nawasilisha.
Uvivu mwingi kawaida ya kina yakheee!Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu wa Nyerere na Karume ambao, kwa namna yoyote ile, hauna tija kwao.
View attachment 2891578
Taabu hii haipo kwa wazaznzibar peke yao bali hata watanganyika wanahisi muungano huu umekuwa ukiwaletea shida za hapa na pale, huku serikali na chama chake wakiwa wameziba nta na pamba masikioni. Tazama jinsi watanganyika wanavyonyanyaswa nchini Zanzibar kwa kunyanganywa vifaa vyao vya kiutamaduni na kuwadhalilisha hadharani. Hii sio sawa hata kidogo.
View attachment 2891579
MAONI YANGU
Mimi nafikiri sasa ni wakati muafaka watanganyika tuondokane na huu utumwa wa kunyanyaswa na wazanzibar kila kukicha kwa kuchukua hatua madhubuti. Hatua ya kwanza ni kuwasaka wapemba waliotapakaa hapa nchini na kulipiza kisasi kama watanganyika wanavyonyanyaswa huko Zanzibar. Na hatua ya pili ni kutaifisha mali zao kwa maslahi mapana ya umma wa watanganyika.
Nawasilisha.
Mm ninachojiuliza: kwani huu muungano wa mchongo ukifa, CCM warapata hasara gani?Wazanzibar kuoitia DC kwa kitendo cha kuwalazimisha Wamasai wavae T-Shirt na Jean eti wanabadilika ni kuwadhalilisha sana. Hivi Mzanzibar akiambiwa avae kapelo na si zile kofia zau asivae kanzu hilo ni jambo la busara!
Video, Wamasai walichokozwa kwa kunyang'anywa silaha zao na mmoja wao kuburuzwa, wakajitetea
Kutembea na fimbo au rungu au sime si tatizo. Mbona wapo huku Tanganyika hatujawahi kuona tatizo?
Ni utamaduni wao, kuwalazimisha wauache ni kuwanyanyasa
Hili linakumbusha tukio la Mama kunyang'anywa ndizi zake kwa kisingizio zinatoka nje ya nchi yaani Tanganyika.
Wao wanapoleta bidhaa wanadai Wasilipe kodi kwasababu ni nchi mmoja, tena baada ya JPM kupiga marufuku sasa hivi ni uchochoro tu wa kukwepa kodi kwa kuingiza bidhaa chini ya viwango huku Tanganyika. Wamerhusiwa!
Tukio la Mama wa ndizi na hili la Wamasai limefumbiwa macho na Rais SSH na Mwinyi kwasababu Wazanzibar wana haki zaidi ya kufanya lolote bila kuulizwa au kuhojiwa ndani ya Muungano.
Utashangaa Kauli ya Mwenyekiti Mbowe ya kuonya kuhusu Mkataba wa DP iliitwa ya kibaguzi kwasababu tu alitaja waliosaini mkataba ni Wazanzibar katika jambo lisilo la Muungano na hilo lingeleta picha mbaya
Lakini pia Watanganyika mna la kujilaumu, kwanini ninyi hamsimamii au kutetea masilahi yenu!
Mtavumilia ubaguzi na unyanyaswaji hadi lini!
Wazanzibar wamefika mahali wanawafurusha Wamasai kwasababu tu hawawataki!
Wanatukana tamaduni kwasababu tu ni Watanganyika. Nani atakayewazungumzia au kuwasemea ninyi wa Tanganyika! Hamna mahali wala chombo cha kuwatetea! Bila Tanganyika nani atawanusuru!