mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Hujui Hilo ni kolon lakeHilo la mashamba kasema hawataki maharage wala sembe lenu... Hawana shida na mazao yenu na chakula chenu.... Hujamsikia ?
Tanganyika ndio tunajikomba kwenye Muungano, tujiona kama tutaachwa na mke hivi
Nyerere alikuwa kalewa siku anatuingiza hili li mkenge la Muungano
Hata li mkataba bovu la DP World halifui dafu kwa limkataba alilotuingiza Nyerere
Ukiona mtu anang'ang'ania kwenye gari bovu jua kuna mizigo yake humo ndani
Kuna maslahi ya watu fulan kwenye hili dude kaa kwa kutulia hautakaaa uvunjike milele nyie ndiyo mtakufa mtauacha
Refer maalim
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app