Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

Hapo Zanzibar wataipata freshi hawana mashamba kule wanategemea Tanzania tukitengana ndio basi tena

Hilo la kuhusu mashamba, kasema wao hawataki sembe, maharage wala maugali yenu... Hawana shida na mazao yenu na chakula chenu.... Hujamsikia ?

Tanganyika ndio tunajikomba kwenye Muungano, tunajiona kama tutaachwa na mke vile...

Hata li mkataba bovu la DP World halifui dafu kwa limkataba alilotuingiza Nyerere

Rais Nyerere alikuwa kalewa chakali siku anatuingiza li mkenge la Muungano


 
Si wajiripue na kujitoa muhanga sasa km wameuchoka wanataka watanganyika tuwasaidieje

Wao ni wajaidina na sifa ya wajaidina ni misimamo wawe na misimamo km hamas kule palestina wajiripue
 
Asilimia kubwa ya wapemba wamejazana Tanzania bara biashara Zanzibar hazilipi.kwao Pemba Wala unguja

Kule Zanzibar na Pemba kumejaa tu watu wa swala Tano na kupiga miyowe ya Takbiriiii na Allah Akbar lakini Hela hawana za kununua bidhaa ndio maana wapemba wengi wamekimbizia biashara zao Tanzania bara baada ya kuona Takbiriiii na Allah Akbar Allah Akbar haziwaingizii pesa Zanzibar bidhaa zinawadodea
 
Tatizo ni CCM
Nje ya CCM, Muungano ni mzuri na imara kwa sababu tutasikilizana na kuelewana kama ndugu kuliko hivi sasa ambapo Muungano ni mwendo wa mtutu
 
Kwani Zanzibar , Ukerewe na Mafia Kuna tofauti gani?
Si kote huko viongozi wanateuliwa Dodoma?
 
Mwalimu alikuwa mtu wa kupenda ''Tujisahihishe'' na wosia wake kwa viongozi wa sasa, Ni Kuendeleza Mema TU yaliyofanywa na awamu zilizopita.

Umeitwa ni Muungano ila mizani haiko balanced, A analalamika B anamkandamiza na vice versa.

Serikali ilipe uzito hili jambo, maoni ya Wananchi yafanyiwe kazi. Hii itasaidia Ustawi wa pande zote.

Ni ngumu kufanikiwa kwa baadhi ya vitu kama Taifa, ikiwa baadhi ya Wananchi mioyo yao imejaa sononeko.
 
Sasa mtanganyika ajitokeze waziwazi aseme haya uone kama hajatiwa ndani
 
Sasa mtanganyika ajitokeze waziwazi aseme haya uone kama hajatiwa ndani
Kwa kuwa Zanzibar ni koloni la Tanganyika ndio maana watanganyika hawataki wazanzibar wagutuliwe kutoka usingizini. Aliyelala usimuamshe, akiamka utalala wewe.

Wazanzibar wanateswa sana na huu muungano ila hawana wa kuwasemea. Ngoja Tanganyika iendelee kuwanyonya hadi Yesu atakaporudi.
 
Wazanzibar kuoitia DC kwa kitendo cha kuwalazimisha Wamasai wavae T-Shirt na Jean eti wanabadilika ni kuwadhalilisha sana. Hivi Mzanzibar akiambiwa avae kapelo na si zile kofia zau asivae kanzu hilo ni jambo la busara!

Video, Wamasai walichokozwa kwa kunyang'anywa silaha zao na mmoja wao kuburuzwa, wakajitetea
Kutembea na fimbo au rungu au sime si tatizo. Mbona wapo huku Tanganyika hatujawahi kuona tatizo?
Ni utamaduni wao, kuwalazimisha wauache ni kuwanyanyasa

Hili linakumbusha tukio la Mama kunyang'anywa ndizi zake kwa kisingizio zinatoka nje ya nchi yaani Tanganyika.
Wao wanapoleta bidhaa wanadai Wasilipe kodi kwasababu ni nchi mmoja, tena baada ya JPM kupiga marufuku sasa hivi ni uchochoro tu wa kukwepa kodi kwa kuingiza bidhaa chini ya viwango huku Tanganyika. Wamerhusiwa!

Tukio la Mama wa ndizi na hili la Wamasai limefumbiwa macho na Rais SSH na Mwinyi kwasababu Wazanzibar wana haki zaidi ya kufanya lolote bila kuulizwa au kuhojiwa ndani ya Muungano.

Utashangaa Kauli ya Mwenyekiti Mbowe ya kuonya kuhusu Mkataba wa DP iliitwa ya kibaguzi kwasababu tu alitaja waliosaini mkataba ni Wazanzibar katika jambo lisilo la Muungano na hilo lingeleta picha mbaya

Lakini pia Watanganyika mna la kujilaumu, kwanini ninyi hamsimamii au kutetea masilahi yenu!
Mtavumilia ubaguzi na unyanyaswaji hadi lini!

Wazanzibar wamefika mahali wanawafurusha Wamasai kwasababu tu hawawataki!
Wanatukana tamaduni kwasababu tu ni Watanganyika. Nani atakayewazungumzia au kuwasemea ninyi wa Tanganyika! Hamna mahali wala chombo cha kuwatetea! Bila Tanganyika nani atawanusuru!
 
Zanzibar wamechoka na mkoloni mweus full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…