Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

Hujui Hilo ni kolon lake
Ukiona mtu anang'ang'ania kwenye gari bovu jua kuna mizigo yake humo ndani
Kuna maslahi ya watu fulan kwenye hili dude kaa kwa kutulia hautakaaa uvunjike milele nyie ndiyo mtakufa mtauacha
Refer maalim

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku watajitenga,ila wasisahau Unguja na Pemba nazo zitataka kila mmoja afe na chake siku moja.
 
Kuna siku watajitenga,ila wasisahau Unguja na Pemba nazo zitataka kila mmoja afe na chake siku moja.
Hayo huko tuwaachie wao hayatuhusu!! Wakijitenga wao kwa wao sisi yasituhusu!!
 
KATIKA ANGLE YA KIJASUSI: Ishu ya kiusalama inamantiki kwa kiasi kikubwa sana... watanganyika tulishakosea tangu mwanzoni kabisa mwa huu muungano baada ya kuruhusu wazanzibar kuingia kwenye sekta nyeti za tanzania hata zile ambazo hazihusiani na muungano kuanzia ngazi ya kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda mpaka taifa hii imesababisha dola, serikali na idara/taasisi zake, vyama vya siasa na mifumo yote ya kuendesha nchi iwe inajulikana nje ndani na wazanzibari hii kijasusi ni mbaya sana kwani endapo muungano utavunjika tutakua mahasimu wakubwa sana na endapo zanzibar atapata washirika wasio wema kwa tanganyika basi tutakuwa vulnerable kwa mashambulizi kutoka kila kona iwe kiuchumi, kidola, kijeshi, kitamaduni nk... tutakua na kundi kubwa sana la wapemba watakaojiita wadigo, wazaramo, wandengereko ili tu wajipenyeze mpka kufikia kwny ngaz za maamuzi, tumeshindwa kwa wakimbizi tutaweza kwa hawa wanaokuja kwa kuogelea bila nyaraka yoyote!
 
Hujitambui hata kidogo
 
Hawa wahuni kila mmoja ajitegemee waone uchungu wa kulipia matibabu na elimu.
Hawa wake zao wakienda kujifungua mpaka pamba za kujifutia tumewawekea hospital huku hapa wenyewe Dar es salaam wake zetu wasipobeba wembe tu wanapigwa makofi na wakunga.
 
Kama TRA inakusanya mapato kutoka Zanzibar mbona tukinunua kitu Zanzibar , uku bara mbona wanataka Kodi yao, Hii sio nchi moja ,ni nchi mbili tofauti huu Muungano uvunjwe
 
Ushashiba magimbi saasa unapmua na matundu yote
Kwanini usitetee hoja badala ya kutukana mkuu? Wewe tuambie faida za muungano kwa watanganyika tutakuelewa lakini usitukane.
 
Hivi hebu tujiulize nchi zilizoungana na baadae zikajitenga kama Senegal na Gambia (Senegambia), Malaysia na Singapore etc sasa hivi zinaishije? Sisi tuna tatizo gani ambalo tunaona tukijitenga tutakufa?
 
Unafikiri hata sisi Bara tunawahitaji!
Vunjeni rudini kwenu na tambueni Bara mtaondoka wote!
na mnavyozaana hovyo miaka 5 tu kisiwa mmekijaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…