Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

Wazanibari wakipewa nafasi ya kupiga kura ya kuendelea na muungano au kujitenga, matokeo yanaweza kuwa tofauti na wengi wanavyodhani.
 
Kuna siku watajitenga,ila wasisahau Unguja na Pemba nazo zitataka kila mmoja afe na chake siku moja.
Hakuna kitu hicho ni vitisho tu ili watu waendelee kuwa watumwa wa muungano wa kipumbavu.
 
Hakuna kitu hicho ni vitisho tu ili watu waendelee kuwa watumwa wa muungano wa kipumbavu.
Mwenyewe sipo interested na Muungano, kwanza kwetu mbali sana...Mbeya(Texas), pengine nasi tukataka Uhuru wetu kule.
 
Wazanibari wakipewa nafasi ya kupiga kura ya kuendelea na muungano au kujitenga, matokeo yanaweza kuwa tofauti na wengi wanavyodhani.
Yawe tofauti kivipi mkuu? Unadhani wazanzibar wananufaika nini na muungano?
 
Hivi hebu tujiulize nchi zilizoungana na baadae zikajitenga kama Senegal na Gambia (Senegambia), Malaysia na Singapore etc sasa hivi zinaishije? Sisi tuna tatizo gani ambalo tunaona tukijitenga tutakufa?
Akikujibu nitag mkuu?
 
Hakuna kitu hicho ni vitisho tu ili watu waendelee kuwa watumwa wa muungano wa kipumbavu.
Kweli kabisa mkuu. Muungano hauna faida yoyote kwa wananchi isipokuwa wanasiasa tu.
 
Kama wewe ni mtanganyika basi anza kufahamu hili, Siasa, imani na tamaduni za kizanzibar zimewajenga watu wake kuwachukia, kuwadharau na kuwabagua watanganyika kupita maelezo. Kila baya linalotokea Unguja au Pemba basi lawama zitapelekwa kwa mtanganyika.
Yaani mtanganyika akiwa Zanzibar, aje kutalii tu, ikiwa ataishi Zanzibar ataonekana ni raia wa daraja la chini, asiyekuwa na haki za kimsingi kama mtanzania.

Wazanzibar wengi wameaminishwa kuwa, mtanganyika amekuja kupora haki za mzanzibar, amekuja kuharibu asili na tamaduni za kizanzibar, na mwisho wa siku atawale Zanzibar.

Wazanzibar wengi wanaumia na kujisikia vibaya sana kuona mtanganyika anafaidika na kufanikiwa akiwa Zanzibar. Mabinti wa kizanzibar wengi wanawekewa kila kikwazo kutoka kwa ndugu zao wasiolewe na mtanganyika, lakini bado watanganyika wanazaa na kuoa kwa kasi mabinti wa kizanzibar.

Hali inakuwa mbaya zaidi ikiwa mtanganyika atakuwa ni imani tofauti na imani kuu inayotawala Zanzibar, asiwe na asili ya mwambao (Pwani, Tanga, Dar), awe msomi, mfanyakazi wa umma au kiwango kizuri cha kimaisha.

Pamoja na hayo yote, idadi ya watanganyika wanaokuja Zanzibar (hususani Unguja) kwa lengo la kuishi na kufanya shughuli mbali mbali kwa muda mrefu (kuhamia) inazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu, idadi ya mabinti wa kizanzibar wanaolewa na watanganyika inazidi kuwa kubwa mnoo, Imani na tamaduni za Kizanzibar zinamezwa kwa kasi kubwa mnoo. Kama hali itaendelea hivi, huenda baada ya miaka 20 ijayo, uwiano (kitamaduni, imani, umaarufu) wa Uzanzibar dhidi ya Utanganyika hapa Zanzibar ukafikia 50/50.

Ile dhana ya kusema 99.9% ya wazanzibar ni watu wa imani moja nadhani ni dhana ya zamani sana (labda miaka ya 1970-80 huko), ukiachana na upagani (ambao ndio unaozidi kushamiri Zanzibar kuliko kitu kingine chochote), kasi ya imani zingine (tofauti na imani ya asili ya wazanzibar wengi) inazidi kushika kasi Zanzibar ni kali kupita maelezo, nyumba za ibada za imani zingine zinazidi kushamiri tena katikati ya Unguja, wazanzibar wakizipokea kwa mikono miwili na kuzifurahia.

Ni ngumu kuyazuia mabadiliko ya kijamii katika ulimwengu wenye watu mchanganyiko, ni muda muafaka kwa wazanzibar kubadilisha mtazamo wa kifikra ili maisha yaendelee kwa amani.
 
Wenye chuki wengi wakina pangu pakavu tia mchuzi,,,,,wale wenye noti wanagombania dili za kusupply mvinyo na noah huko mahotelini hata habari hawana
 
Ni kweli Zenji mabikra wote hawana marinda?
 
Ni kweli Zenji mabikra wote hawana marinda?
Nawe zee zima bado unakaririshwa vistori vya kipuuzi vya miaka ya 60 hivi?!!!!
Wahalifu (wenye kufanya hivyo) wapo na wanaojielewa (wasioshiriki upuuzi huo) pia wapo, ni mchanganyiko wa watu na matukio km ilivyo kwa jamii zingine. Huku bara tuna kina aunt Tito; bs ndo iwe sote tupewe hadhi h8yo tena?!!!! Si utakuwz utahira huo sasa?!!!!
 
ukiachana na upagani (ambao ndio unaozidi kushamiri Zanzibar kuliko kitu kingine chochote),
Naomba maelezo zaidi eneo hili hapa mtoa mada; unakuaje huo upagani, waathirika ni kina nani (rika) na driving cause ni ipi n.k!
 
ASILIMIA 95% YA WAZANZIBAR HAWANA MARINDA ASEEE. ALLAH THE ARAB GOD HELP YOU GUYS.
 
Aiseeee!!!!
 
Uvivu mwingi kawaida ya kina yakheee!
Wao kunywa sharubati kwa mrija ndo waweza!
 
Mm ninachojiuliza: kwani huu muungano wa mchongo ukifa, CCM warapata hasara gani?
 

Huu muungano ni wa mchongo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…