Hujui kuandika vizuri?1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa
2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa.
3. Wakiristo wengi hasa J2 hufungua maspika yao na kufanya ibada zao kwa sauti ya juu sana. Wengine hukwesha na maspika yao lkn huvumilia.
4. Vijana wengi kutoka bara wameajiriwa katika mashamba wakifanya kazi za kilimo na ufugaji tena wakitunzwa sana.
5. Akina dada wengi wafanyakazi wa ndani ni kutoka bara, na kasi ya kuingia Zanzibar kutafuta kazi za ndani imeengezeka
6. Wamachinga wengi wanaotembeza sabuni, dawa za meno ni kutoka Bara.
7. Hakuna mwanafunzi Mtanganyika aliewahi kutengwa au kufanyiwa figisu ktk vyuo vikuu kuhusu marks zake.
Hii tofauti na Tanzania Bara, Wazanzibari wakisoma vyuo vya tanganyika huwa na tahadhari sana kutoka kwa madokta na maprofessor. Mara utakuta marks zake hazionekani
Hili Jarida litakuwa la kanisa flani hivi, na wewe ndie mwandishi wake
Nimesoma chuo cha st Fransis na nimepata div 1Hujui kuandika vizuri?
Wengi humu jf hawaijui Zanzibar
Huna jibu au nikutumie na clip kabisa?Hili Jarida litakuwa la kanisa flani hivi, na wewe ndie mwandishi wake
Kanisa liliwahi kuomba radhi kwa kunyanyasa watoto kingono
Mpaka sasa umetenda dhambi kwakua hujaua wakristo, huoni unamkosea Allah kwa kutokuua?Hili Jarida litakuwa la kanisa flani hivi, na wewe ndie mwandishi wake
Propaganda za kanisa lako zitakuwa hizoHuna jibu au nikutumie na clip kabisa?
Kumbe umekubaliana haya mambo community zote hutenda? Punguza kujipa umuhimu na umaana kuliko wengine.Kanisa liliwahi kuomba radhi kwa kunyanyasa watoto kingono
Uislam ndio dini ya haki, hata wewe hilo unalijuwa. Ktk sheria za kiislam, mbakaji wa watoto hukumu yake ni kifoKumbe umekubaliana haya mambo community zote hutenda? Punguza kujipa umuhimu na umaana kuliko wengine.
Si unaona sasa akili zenu? Mnafanya dhambi zile zile alafu hamtaki kukosolewa?😀😀 punguza unafiki, allah lazima akupige kiberiti.Propaganda za kanisa lako zitakuwa hizo
ThibitishaUislam ndio dini ya haki, hata wewe hilo unalijuwa
Quran ishakosoa, wewe jukumu lako kukumbusha tu. Halafu ingia ktk uislam kabla hujaondoka ktk dunia hii. Ujanja ni kuwa muislam sio kumaliza madegreeSi unaona sasa akili zenu? Mnafanya dhambi zile zile alafu hamtaki kukosolewa?😀😀 punguza unafiki, allah lazima akupige kiberiti.
Mimi silijui hilo la dini ya haki.Uislam ndio dini ya haki, hata wewe hilo unalijuwa. Ktk sheria za kiislam, mbakaji wa watoto hukumu yake ni kifo
Ili ufanya mtihani wa f4 lazima usajiliwe na necta. Swala div utayopata ni hatua nyengine. Kwa hivyo muislam wapo wanaofanya dhambi lkn ili uhesabiwe dhambi vs thawabu lazima uwe muislam kwanzaThibitisha
Je hakuna miongoni mwenu anaetenda dhambi?
Kwa hivyo kila mtz anapiga kura, akisajiliwa au kutosajiliwa kwa kuwa mtz tu basi atapiga kura? Shule umeenda kujifunza nini? Upuuzi?Mimi silijui hilo la dini ya haki.
Nachojua mtu yeyote atendae mapenzi ya Mungu ndio mwenye haki na sio hizo taasisi zenu za kidini.
Never na haitatokeaQuran ishakosoa, wewe jukumu lako kukumbusha tu. Halafu ingia ktk uislam kabla hujaondoka ktk dunia hii. Ujanja ni kuwa muislam sio kumaliza madegree
Halafu dada yako yupo huko anafanyankazi za ndani kuosha vyombo na kufua, malipo anakutumia wewe ukeshee baaWazenji ni wabaguzi nambari one!
Moto wa bibi zako wakipikia pombe?Never na haitatokea
Who are you?
Jibu swali nimekuonyesha hayo hizo image na video ninazo, za baadhi ya Viongozi wenu pia wakitenda dhambi..
Ila umekataa ku kiri kuwa wamekosea
This means wewe ni wa motoni moja kwa moja