Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

Umuonee chuki mkiristo ananini? Anamiliki nini? Kama wewe kula yako ilu upate uwapigie propaganda chadema
Mjinga wewe naweza kukufuga na familia yako yote, tena usiote hata kufikiria standard ya maisha ninayoishi ujilinganishe na wewe, muda wote unawaza udini tu. Mimi sipigi propaganda humu ila mjinga kama wewe ukiweka habari potoshi nakunyoosha.Una chuki za kibwege sana wewe na hiyo ni inferiority complex inakutesa.
 
1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa

2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa.

3. Wakiristo wengi hasa J2 hufungua maspika yao na kufanya ibada zao kwa sauti ya juu sana. Wengine hukwesha na maspika yao lkn huvumilia.

4. Vijana wengi kutoka bara wameajiriwa katika mashamba wakifanya kazi za kilimo na ufugaji tena wakitunzwa sana.

5. Akina dada wengi wafanyakazi wa ndani ni kutoka bara, na kasi ya kuingia Zanzibar kutafuta kazi za ndani imeengezeka

6. Wamachinga wengi wanaotembeza sabuni, dawa za meno ni kutoka Bara.

7. Hakuna mwanafunzi Mtanganyika aliewahi kutengwa au kufanyiwa figisu ktk vyuo vikuu kuhusu marks zake.

Hii tofauti na Tanzania Bara, Wazanzibari wakisoma vyuo vya tanganyika huwa na tahadhari sana kutoka kwa madokta na maprofessor. Mara utakuta marks zake hazionekani
Nilivyoona tu neno imeengezeka, nikajisemea baasi, inatosha
 
Tunaoishi zenji ndo tunawajua hawa watu we hujui lolote mkuu, Kaa kimya
 
Mjinga wewe naweza kukufuga na familia yako yote, tena usiote hata kufikiria standard ya maisha ninayoishi ujilinganishe na wewe, muda wote unawaza udini tu. Mimi sipigi propaganda humu ila mjinga kama wewe ukiweka habari potoshi nakunyoosha.Una chuki za kibwege sana wewe na hiyo ni inferiority complex inakutesa.
Unajulikana, kula yako inatokana na post yako humu ndani, ikifa chadema itabidi urudi kijijini ukaende kanisa waliokuwachia familia. Wewe unawaza chadema wengine wanawaza dini. Kama unamaisha mazuri using kuwa tayari kuwa propaganda wa chadema humu
 
Hiyo ni Zanzibar unayosimuliwa na mumeo bila shaka!!

BTW: Hata Sheikh wa msikiti kutoka Tanganyika huko Zanzibar wenyewe wanamuona kafir tu.

Wao ni waislamu daraja la kwanza,wewe na chogo lako ni takataka tu.
 
Uislam hakuna daraja. Ukitaka uamini angalia tunavyoswali, wote tunakaa chini tena ktk busati 1, akiwa tajiri, maskini, mfalme au mtawala. Hamna viti msikitini kwamba hichi cha dhahabu au cha miti
 
Wewe ndio hujui. Unaaabdu kanisa gani? Umezuiliwa kuabudu?
Hujasikia juzi tu hapa kanisa limevunjwa? Sisi ndo tunaishi mitaani tunaona vile wanavyotuchukia kwa udini na utanganyika wetu.
Mi najua we unawapenda kwa sababu ni watu wa dini yako ila mkuu nakwambia ukweli, hata wewe ungeishi huku usingekuja kuandika haya uliyoandika.
 
Unajulikana, kula yako inatokana na post yako humu ndani, ikifa chadema itabidi urudi kijijini ukaende kanisa waliokuwachia familia. Wewe unawaza chadema wengine wanawaza dini. Kama unamaisha mazuri using kuwa tayari kuwa propaganda wa chadema humu
Mini ni mmojawapo naichangia Chadema na siyo vice versa na Chadema hailipi watu hela kama ningekuwa na uhitaji wa hela mbovu ningeshabikia CCM. Na pia mimi ni muumini wa imani za jadi siko huko kwenye dini zenu za Mashariki ya kati. Unahangaika sana kama kuku anayetaka kutaga.
 
Hujasikia juzi tu hapa kanisa limevunjwa? Sisi ndo tunaishi mitaani tunaona vile wanavyotuchukia kwa udini na utanganyika wetu.
Mi najua we unawapenda kwa sababu ni watu wa dini yako ila mkuu nakwambia ukweli, hata wewe ungeishi huku usingekuja kuandika haya uliyoandika.
Kanisa lako limevunjwa wapi? Mtaa gani? Achapropaganda hizi
 
Kanisa la pentekoste Kwahani limevunjwa mkuu, we uko wapi huna hii habari?
Tulioko huku tunaona hayo mambo mkuu, eti hapa unasema tunapiga kelele na maspika then wanavumilia! Nakuangalia tu vile hujui mambo ya huku.

Sheikh wa zenji alisema mlevi wa Zanzibar ni Bora kuliko sheikh wa bara. Huuoni huo ubaguzi?
Waislam wa bara huku mnaonekana kama makafiri tu kama tunavyoonekana sisi...
We endelea kuwatetea wasiokupenda.
 
3. Wakiristo wengi hasa J2 hufungua maspika yao na kufanya ibada zao kwa sauti ya juu sana. Wengine hukwesha na maspika yao lkn huvumilia.
Kuhusu maspika hata hapa kitaa kwetu kuna msikiti unamasoika yanapiga kelele sana
 
Kanisa la pentekoste Kwahani limevunjwa mkuu, we uko wapi huna hii habari?
Tulioko huku tunaona hayo mambo mkuu, eti hapa unasema tunapiga kelele na maspika then wanavumilia! Nakuangalia tu vile hujui mambo ya huku.

Sheikh wa zenji alisema mlevi wa Zanzibar ni Bora kuliko sheikh wa bara. Huuoni huo ubaguzi?
Waislam wa bara huku mnaonekana kama makafiri tu kama tunavyoonekana sisi...
We endelea kuwatetea wasiokupenda.
Kwahani opposite na Ziwani polisi? Lile kanisa liliopo karibu na msikiti wa Sheikh Makungu? Yaani upande wa kushoto kama unatoka msikiti wa Muhammed Ali kuelekea mjini? Hebu lete habari kamili tufatilie zaidi. Usipige propaganda jf
 
Back
Top Bottom