Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

Kwa hivyo kila mtz anapiga kura, akisajiliwa au kutosajiliwa kwa kuwa mtz tu basi atapiga kura? Shule umeenda kujifunza nini? Upuuzi?
Unaongea upuuzi kama kule kwa kaimu waziri wa zanzibar, ile comments ulitoa uwezo wako wa akili ndioo ulipoishia thats why waislam wenzio wakakupinga, ndio ujue akili yko ndogo, au niku tag uone?
 
Wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
Ili ufanya mtihani wa f4 lazima usajiliwe na necta. Swala div utayopata ni hatua nyengine. Kwa hivyo muislam wapo wanaofanya dhambi lkn ili uhesabiwe dhambi vs thawabu lazima uwe muislam kwanza
Nataka uniambie muislam anaetenda dhambi akifa mwisho wake ukoje?
 
Unaongea upuuzi kama kule kwa kaimu waziri wa zanzibar, ile comments ulitoa uwezo wako wa akili ndioo ulipoishia thats why waislam wenzio wakakupinga, ndio ujue akili yko ndogo, au niku tag uone?
Akili yangu ndogo, yako tope kabisa
 
Kipi hicho? Na mahakama ya nchini kwake ili muhukumu vipi? Au hakupelekwa mahakani?
Hapa hatuongelei mahakama tunaongelea dini, inavyosema na inavyotaka,
Nataka nijue alikuwa sawa au hakua sawa kwa kauli zake?
 
Hapa hatuongelei mahakama tunaongelea dini, inavyosema na inavyotaka,
Nataka nijue alikuwa sawa au hakua sawa kwa kauli zake?
Kauli zipi na kazitoa wapi? Maana nyinyi waandishi wa baadhi ya makanisa huwa mnaedit kwa manufaa yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…