Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Hahahaha....nyie waTZ !! Mnachekesha sana..
Kwanini haya yote????
Uhuru na Amani tuutunze na kuukumbatia...
Huu utajiri mkubwaaaa!
 
Bora wapewe tu hata leo tubaki na Tanzania yetu, waishi kwa permit nchini.
Akili unazo wewe? 1-1 jawabu ni 1??
Ukiitoa ZANZIBAR katika Tanzania utabakiwa vipi na Tanzania??
Tanzania - ZANZIBAR = Tanganyika

Sijui umenisoma?
 
Mkuu, mtoto akililia wembe muache, ukimkata atatia akili
ha..ha..haa....nikweli tabu inakuja anajikata wapi akiwa wa kike anaweza kujikata kwa bibi ukaambiwa umemfanyia tohara! kumbe kajikata mwenyewe!
 
utumwa kazi! hivi wewe ni wa kuwaambia watanganyika Wasenge! kweli? wakati huku ndio kwenu? kizazi chako kilienda huko kama watumwa tu na si vinginevyo. hivyo nyinyi ni wa kutawaliwa tu! mwenye asili yake aliuwawa ndio mwenye sehemu ya jina la zanzibar.
mliobaki ni machotara wa kitumwa na kitwana kizazi kilichokataliwa kisichokamilika kwao!
 
Yaani mnataka Fundi Wa Mpira nchini "Fei toto" awe ni mchezaji Wa kulipwa anayechezea timu kubwa kuliko zote nchini " timu ya wananchi" toka nchi nyingine? Sikubaliani nalo!
 
Hebu muacheni mzee wa watu ajipumzikie huko Oman bila ya kumuingiza kwenye matatizo. Mzee mwenyewe ana miaka 91 tayari amependelewa sana na Mungu kwa umri, unadhani anawaza kuja kutawala kisiwa chenye njaa tupu!

Ukoo wao hawapo? Watoto na wajukuu bado wana ndoto hizo na hao wengine ndio hao walio sign petition!!
 
Wangekua wanaonyesha kwa vitendo kukataa teuzi za huku bara,wanadai mamlaka kamili lakini wakipewa teuzi huku bara hawakatai.
 
Unahisi ikifanyika partition hizo 10KM zitakuwa za Zanzibar Imagine eti wazenji wamekaa Posta eti nchi yetu....kile cha Palestina na Ez ndio kitatokea
Waichukue posta wameijenga wao!?
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]

[emoji120][emoji120][emoji120] fact

Ova
 
Ni heri hata leo wapewe nchi yao watu wanashindwa kulipa hata deni la umeme kila mara linafutwa. Nashauri UN waseme kweli wameona makosa kila nchi iende kivyake full stop nitafanya sherehe. Si wana mafuta basi wachimbe wajipake
 
Kwani wakijitenga tunapungukiwa Nini? Ulishaona muungano wa watu laki 5 kwa milioni 60?

Wapewe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…