Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Nyinyi akina Nani , Kanisa Katoliki?Huyu Bwana Ally inatakiwa apewe misukosuko.
Haiwezekani sisi tupiganie Muungano yeye akazanie kuuvunja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi akina Nani , Kanisa Katoliki?Huyu Bwana Ally inatakiwa apewe misukosuko.
Haiwezekani sisi tupiganie Muungano yeye akazanie kuuvunja.
Wakuu, kwani Zanzibar inatawaliwa mpaka kwenda UN? Nadhani hili suala ni la Kikatiba tu hapa na dawa ni rasimu ya mzee Warioba huko UN wataona hii ni kama kipeperushi ati.
Halafu utambue kuwa Zanzibar ina pesa yake gwala la shs 200/=.Juzi nimecheka sana, eti Zanzibar inaidai Tanzania bara zaid ya 4Trillion[emoji23][emoji23][emoji23].
Daaah
Siku hizi wapo tele mkuu.Vipi, upande wa visiwani Zanzibar hakuna watanganyika?
Hakuna Tanzania bila Zanzibar.Sisi tutabaki na Tanzania wao watabaki na Zanzibar, basi hatuezi badili kitu, wao waende tu
Kwani walipokonywa na UN?Wapewe tu
Akili unazo wewe? 1-1 jawabu ni 1??Bora wapewe tu hata leo tubaki na Tanzania yetu, waishi kwa permit nchini.
Hata kiweje bado yetu Why mnaingangania??Bora wasepe.. Wanajiona sana hawa. Ka nchi kenyewe km Wilaya ya chunya. Tokeni mtuachia nchi yetu
Weeee Kuna machogo yakumwaga hukooWapo wachache sana
ha..ha..haa....nikweli tabu inakuja anajikata wapi akiwa wa kike anaweza kujikata kwa bibi ukaambiwa umemfanyia tohara! kumbe kajikata mwenyewe!Mkuu, mtoto akililia wembe muache, ukimkata atatia akili
utumwa kazi! hivi wewe ni wa kuwaambia watanganyika Wasenge! kweli? wakati huku ndio kwenu? kizazi chako kilienda huko kama watumwa tu na si vinginevyo. hivyo nyinyi ni wa kutawaliwa tu! mwenye asili yake aliuwawa ndio mwenye sehemu ya jina la zanzibar.Weye Chiwa mjinga sana Muungano una faida na nyie Watwana wa kitanganyika na sio Wazanzibari na sijui kwa mmekaa kama Wasenge munatutaka kwa nguvu tuwapige nao tunawambia hatutakii bado muna ngangana tu ,ikiwa visiwa vitazama ,vitaliwa na maji weye Tanganyika hututaki msaada wako ss tunataka utu wetu na idintity yetu.Vunja mara kwendeniiii.
Hebu muacheni mzee wa watu ajipumzikie huko Oman bila ya kumuingiza kwenye matatizo. Mzee mwenyewe ana miaka 91 tayari amependelewa sana na Mungu kwa umri, unadhani anawaza kuja kutawala kisiwa chenye njaa tupu!
Ha ha ha haNdio, wanaletelea usumbufu tu.
Waichukue posta wameijenga wao!?Unahisi ikifanyika partition hizo 10KM zitakuwa za Zanzibar Imagine eti wazenji wamekaa Posta eti nchi yetu....kile cha Palestina na Ez ndio kitatokea
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]utumwa kazi! hivi wewe ni wa kuwaambia watanganyika Wasenge! kweli? wakati huku ndio kwenu? kizazi chako kilienda huko kama watumwa tu na si vinginevyo. hivyo nyinyi ni wa kutawaliwa tu! mwenye asili yake aliuwawa ndio mwenye sehemu ya jina la zanzibar.
mliobaki ni machotara wa kitumwa na kitwana kizazi kilichokataliwa kisichokamilika kwao!