10km zipo na usifikiri tutazisamehe Big NO, halafu ndugu yangu kwanza ujuwe inapotokea hivyo ni tayari wale wanaoishi ndani ya zile 10km hawatakuwa tena wakisapoti huko mabondeni,hilo mlijue. Ukiangalia Malawi anachukua Nyasa yote na ukiangalia hadi leo ule mpaka unawekwa rangi nyekundu ukiashiria kuna mtu anamdhulumu mwenzake.tuonyeshe hizo 10km mnazodanganywa hapo kwenye ramani
Unaona ujinga wako...Wazanzibari sio waliofanya hayo munayoita mapinduzi mapinduzi mumeyafanya nye watwana wa bara .Soma kitabu KWAHERI UKOLONI .
Nyie ni watu hamuna msimamo ni watu majoga sana ndio maana Jiwe aliwatekenya sana kwa vidole na mukawa munacheka tu .Hamuwezi kufanya chochote hata baba yetu Nyerere aliwahi kuwambia mutaka ULEVI .NGOMA na WANAWAKE .Hii ndio kazi yenu.Sisi tunaka nchi yetu tunataka visiwa vyetu.Ina maana Tanganyika inatawaliwa na mgeni !.
Nimeamini kweli mbio za mwenge zimetupofusha waTanganyika kiasi hatuoni wala hatuna uchungu na nchi yetu ya maziwa na asali “in Mtikila voice”
Mjinga weye usojua tarekhe yako pengine hata baba huna au umezaliwa nje ya ndoa.Weye pigania nchi yako Zanzibar haikihusu ndewe wala sikio.Unaona ujinga wako...
HIZO "weye" weye mkivunja muungano ndio hatutazisikia tena ili tubaki na kiswahili kizuri cha wanaume, sio weye weye kama wote tunakula orojo hapa.Sasa weye unaogopa nini weye huna mdomo wa kubweka kama mbwa koko Watanganyika inafaa mutushukuru sana Wazazinbari kwa luwaletea ustarabu mulikuwa munakwenda uchi na kama huamini muulize babu yako kama unae kwa sababu watoto wa haramu muko wengi sana munazaliwa nje ya ndoa sasa kaulize hilo suala wala sio mbali kabla ya 1964 mulikuwa hali gani wabara ,hao mulokuwa mukivaa nguo basi kaniki ndio nguo zenu nakuoneni vinganganizi tu sisi ndio wabaguzi nyie je waungwana sana ?Wacha tupumue bana tumewachoka sana .Kwa nini Munangangania Zanzibar ?
Kule Zanzibar tuna mpaka Rais.Vipi, upande wa visiwani Zanzibar hakuna watanganyika?
Hiyo ya kudai ni kweli sio uwongoJuzi nimecheka sana,eti Zanzibar inaidai Tanzania bara zaid ya 4Trillion[emoji23][emoji23][emoji23].
Daaah
Kabisa. Samia asipoleta katiba mpya kwa kipindi hiki chake ni basi tenaHilo halina mjadala unakuwa na ndugu alafu anakuwekea guu la shingo tuacheni tupumue,mnaogopa kuchukuwa zile 10km za ukanda wa pwani,maana mnajua kisheria hamtoki. Aafu saivi yupo Samia da tukiikosa chansi hii itabidi tusubirie mwengine akate roho.
Wewe unajua halafu haujaweka figures, sasa hapo unajua nini?Hujui kitu, asilimia Watanganyika , Zanzibar ni zaidi ya asilimia Wanzazibari ,Tanganyika.
Mathematically speaking ratio watanganyika/zanzibar >>wazanzibari/tanganyika.
Note >> means FAR GREATER.
Wanasahau deni la umeme wanalodaiwa Tanesco!!!Juzi nimecheka sana,eti Zanzibar inaidai Tanzania bara zaid ya 4Trillion😂😂😂.
Daaah
Naamin historia ya hizi nchi unaijua vzr mkuu.Ukisikia neno TANZANIA ni wapi
Wewe mimi Regent nikijiita Lonadi una malaka gani ya kunihoji kkwanini najiita hivyo...wewe mzanzibar umejitoa kwenye muungano mimi nchi yangu naaita TZ wewe inakuwasha nini maana hizi sasa zitakuwa Genye.Naamin historia ya hizi nchi unaijua vzr mkuu.
40k petitioners seeking Zanzibar's self determination. It is time for Tanganyikans to seek the same.Bora wapewe tu hata leo tubaki na Tanzania yetu,waishi kwa permit nchini.
Sijui tunabembeleza nini!Waacheni wazanzibar wadai muungano uvunjike, hakuna sababu ya kung'ang'ania huu muungano wa kinafki usio na usawa maana hata kwa kumiliki ardhi wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika lkn mtanganyika huruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar, vilevile wazanzibar wanaruhusiwa kuajiriwa huku Tanganyika lkn mtanganyika huruhusiwi kupata ajira Zanzibar, Bora uvunjike kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
Umetumwa,umemiwa au umetumika??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]