Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Bora wasepe.. Wanajiona sana hawa. Ka nchi kenyewe km Wilaya ya chunya. Tokeni mtuachia nchi yetu
mi nafikiri cha msingi ni kuangalia muundo wa muungano wetu - si kukimbizana baada ya kushi miaka yote hiyo kwa umoja.
 
Nyie wazenji wapumbavu sana nchi bila nguvu kazi haiendi kwa hiyo mnataka kua Kama komoro sio acheni uvivu na wivu ndio Mana hamuendelei mtu akiwa na kitu kizuri katupiwe jini
 
Eti after ten years,tutaongia kwa visa kama dubai, Mnadhani ilijengwa kwa ten years sio?Endelea kuota[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe mimi Regent nikijiita Lonadi una malaka gani ya kunihoji kkwanini najiita hivyo...wewe mzanzibar umejitoa kwenye muungano mimi nchi yangu naaita TZ wewe inakuwasha nini maana hizi sasa zitakuwa Genye.
Asante broo
 
wanatakiwa Wazanzibar wawe makini sana katika maamuzi yao wanayotaka kufanya!
kizazi kilichobaki na kinachomiliki nguvu kazi zaidi ni cha miaka ya 70s to 80s hawa hawana uchungu kabisa na Muungano na wangependa ufe hata sasa.
lakini waelewe kuwa wao ndio wanaozaliana sana na kibaya zaidi kutokana na tabia nchi na mabadiliko ya kitekenologia visiwa vyao vinaendelea kwisha na wakirudi huko kote utakuwa mkoa mmoja na wilaya zake!
kwa kifupi tumewachoka mno!
 
Mkuu, mtoto akililia wembe muache, ukimkata atatia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…