Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

Hayo mambo ya population mtaongea ninyi, Vijana wa kizanzibar saizi wengi wana sifa za ajira kwasababu ufaulu umeongezeka tangu 2019, Ni muda wa vijana nao waanza kuonja tam tam kidogo ya muungano,
Wengi wao wameishia form two we ukitaka kujua elim ya wa Zanzibar nenda Jkt kwenye usaili wa Ajir utakuta vijana kutoka Zanzibar wapo 400 sasa wakiambiwa form6 piteni mbele Wana pita 6, form 4 piten mbele wana pita 80, walio baki wote wameishia form two
 
shirika au taasisi yoyote lenye neno Tanzania ni la muungano kuanzia polisi, jwtz, tra, bandari, bot, vyuo, n.k

Haya mambo msimguse mama, yameanza tangu enzi za Nyerere
Ungesama japo sekondari ya kata ingekusaidia
 
kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.

Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.

Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.

miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k

Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%

Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,

Asanteni sana,
Naamini ulisoma hesabau hata kama ni ya darasa la saba unaweza kujua kwa population zanzibar imebeba Asilimia ngapi ya Watanzania. Kwa taarifa tu Zanzibar haizidi asilimia nne na nusu (4.5%) ya watanzania. Nafikiri utakuwa umeshapata majibu ya kama tungefuata huo usawa unaoutaka wangepata Asilimia ngapi
 
kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.

Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.

Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.

miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k

Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%

Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,

Asanteni sana,
Hata wakichukulia asilimia kumi Zanzibar hakuna uwiano na idadi ya watu wa Tanzania bara.Unaposema tuwaongezee asilimia sikuelewi una maana gani?
 
Watu milioni 58 uwape asilimia 79 halafu watu milioni 2 uwape %21, huu ni upuuzi wa kiwango cha lami

cha msingi kazi izingatiwe sifa, wote wapambanie atakaepata na apate, sio kuchukua kisa idadi ina maana hata kama hawana sifa watachukuliwa tu ili kufidia kiwango kilichowekwa
 
kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa wanafeli kupita maelezo.

Ila kuanzia miaka ya 2018 matokeo ni mazuri mno kote Bara na zanzibar, Sikuhizi ufaulu umeongezeka mno, Ni kawaida sama kukuta darasa halina division 0 na 4, hata zikiwepo basi za kumulika kwa tpchi.

Ufaulu huu unaashiria kwamba sasa wazanzibari wengi wameanza kujaa vyuoni ili kusomea taaluma mbali mbali na kuhitimu huku wakiwa na sifa za kupata ajira katika fani kama uhandisi, udaktari, uhasibu, tehama, ualimu, n.k. Mimi ni shuhuda nmeona wazanzibar kibao sikuhizi katika vyuo vya huku bara, hususan kuanzia 2019.

miaka ya nyuma wazanzibari wengi sana walikuwa wanapata divisioni 0 na 4 nyingi sana kuliko mkoa wowote Tanzania, wengi wakawa hawana sifa za ajira, Walippata hizo division 4 wengi ndio hawa mnawaona polisi, jkt, jwtz, n.k

Sasa nilikuwa naona ni bora zanzibar waanze kupewa ajira za huku bara walau asilimia 25 za ajira maana hata ajira zimekuwa zikitangazwa mara chache, basi zinapotangazwa wachukuluwe wazanzibar 25% na sio 21%

Mfano zikitangazwa ajira za Tra, Bot, Nssf, Bandarini, Pccb, n.k basi katika kila watu 100 kuwepo na wazanzibar 25 na sio 21,

Asanteni sana,
Jamaa walikuwa wanachomoka kwa vimemo/na waraka kwa kisingizio cha kuul8nda muungano

Binafsi hilo la 25% sikubaliani nalo kwani hata tukihusisha uwiano wa idadi ya watu .. haiendani (ni pungufu ya 10% ie 1:10)

Swali fikirishi.. hivi kwa upande wa visiwani wanatoa ajira kwa bara kwa uwiano upi?
 
Hata wakichukulia asilimia kumi Zanzibar hakuna uwiano na idadi ya watu wa Tanzania bara.Unaposema tuwaongezee asilimia sikuelewi una maana gani?
Ukitaja zanzibar taja Tanganyika..ukitaja visiwani then taja Bara..huo ndio mwongozo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom