Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Nakubaliana na wewe, utafika muda wataiona passport ya Tanzania ni kero kwao!.Nakubaliana na wewe Bro Pascal, lakini huoni kwamba hivi ni viashiria vya kuparanganyika kwa huu muungano?
Maana pasaport ni document tu, ikiwa watoto wa kizanzibari watazaliwa na kuikuta hii mentality ya sisi wazanzibari, ina maana na wao wata adopt hii mentality na itakuwa rahisi kuipa tangibility ya kujitoa rasmi kwenye huu utanzania wa makaratasi.
P