Mkuu
Naantombe Mushi , usemayo ni kweli, hakuna tatizo lolote kwa mtu yoyote kujinasibu vyovyote vile apendavyo kwa nafsi yake, as long as utambulisho rasmi wa kimataifa ni Passport, hivyo kwa mujibu wa utambulisho rasmi unaojulikana kimataifa, hakuna cha Mzanzibari, Mzanzibara, wala Mpemba, Tanzania ina uraia mmoja tuu, Mtanzania, hivyo Mzanzibari kujinasibu kwa Uzanzibari wake ni rukhsa kwa ajili ya kujifurahisha na kuifurahisha nafsi yake, ila kimataifa hakuna Mzanzibari bali kuna mtu mmoja tuu, Mtanzania, na hao Wazanzibari wote wanaojinasibu na Uzanzibari wao ni kujinasibu tuu, ukweli ni kuwa hao wote ni Watanzania, na passport zao ni za Tanzania.
P