Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Tukuza Chako usahau cha mwenzako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida wanatukuza Taifa lao.Ni nadra sana kumkuta Mtanzania wa visiwa vya Zanzibar akijitambulisha kwamba yeye ni Mtanzania.
Nimefanya utafiti wangu usio rasmi kuhusu hili suala. Ukimkuta Mzanzibari nje ya nchi, halafu ukamuuliza ikiwa yeye ni mtanzania, mara nyingi utapokea jibu kwamba 'Mimi ni Mzanzibari'.
Yaani ni kwamba wazanzibari wengi huwa wanajaribu kwa namna yeyote, kuukwepa utanzania na wengi hawapendi kuitwa watanzania. Kwa waliotembea uarabuni mtathibitisha hili. Yaani ukitaka ukosane na mzanzibari huko arabuni, basi we muite mtanzania.
Inaonekana ni kama wazanzibari wanahisi tayari wapo daraja fulani hivi la juu, hivo kitu utanzania ni kuwashusha hadhi.
Hili jambo ni moja ya mambo ambayo nahisi yanahitaji uwepo wa serikali tatu, maana huko tunapoenda, itafika mahali hata sisi wa bara tutatamani kuitwa watanganyika.
Mi binafsi naanza kuchukia jina Tanzania. Maana yake sioni faida ya huu muungano ambao, kuna upande unautweza wazi wazi.
UmenenaMkuu Naantombe Mushi , usemayo ni kweli, hakuna tatizo lolote kwa mtu yoyote kujinasibu vyovyote vile apendavyo kwa nafsi yake, as long as utambulisho rasmi wa kimataifa ni Passport, hivyo kwa mujibu wa utambulisho rasmi unaojulikana kimataifa, hakuna cha Mzanzibari, Mzanzibara, wala Mpemba, Tanzania ina uraia mmoja tuu, Mtanzania, hivyo Mzanzibari kujinasibu kwa Uzanzibari wake ni rukhsa kwa ajili ya kujifurahisha na kuifurahisha nafsi yake, ila kimataifa hakuna Mzanzibari bali kuna mtu mmoja tuu, Mtanzania, na hao Wazanzibari wote wanaojinasibu na Uzanzibari wao ni kujinasibu tuu, ukweli ni kuwa hao wote ni Watanzania, na passport zao ni za Tanzania.
P
Wishes quite often become reality.You wish hahaahahahhahhah
Siyo kweli, mimi naamini kwamba wao wameamua kuusimamia unzanzibar wao kama ambavyo the late Rev Mtikila siku zote alijinasibu yeye ni Mtanganyika. Pia hili ni wake up call kwamba huu Muungano bado kero zake zinawakwaza.Hiyo ni Kero . Wazanzibar washakiwa brain washed hata ughaibuni wanajitengatenga .wanaamini katika light skin kuwa ni waarabu na waarabu wanaona Kwa wao ndo kila kitu .wenyewe wanaita rangi ya mtume . Utakuta mtu rangi imefubaaaaa yeye kichwani anaamini ni mwarabu na wengine kwake ni bullshit .it's just colonial mentality
HayaWishes quite often become reality.
Bepari mkubwa wewe unajua maana ya Zenj wewe.unajua Ibn Bathuta alipotoka Oman kuja kuzuga huku alikuta watu gani. Ndo maana nikasema shule shule shule shule nibmuhimu. Muoman kuja kuvamia na kuacha vinasaba vya kutafuta Kwa darubini Kali hakukupi uhalali wa kujinasibu kuwa ni ndugu na umkabidhi kila kitu akili ya kitumwa inakusumbuaKihistoria Zanzibar ilikuwa sehemu ya Oman. Sasa asili haipotei, siyo colonial mentality. Oman ni ndugu. Tatizo Zanzibar ilivamiwa baada ya mapinduzi haramu na ya kishetani yaliyomwaga damu za watu wasio na hatia. Kama haya yasingetokea kungekuwepo na uwezo wa kuungana na Oman tena.
Walifikaje Zanzibar hao watu unaowataja? Nimeshakupa somo kwamba hawakuwepo wakati wa visiwa vinamegeka miaka milioni iliyopita. Sasa walivukaje bahari mpaka Zanzibar?Bepari mkubwa wewe unajua maana ya Zenj wewe.unajua Ibn Bathuta alipotoka Oman kuja kuzuga huku alikuta watu gani. Ndo maana nikasema shule shule shule shule nibmuhimu. Muoman kuja kuvamia na kuacha vinasaba vya kutafuta Kwa darubini Kali hakukupi uhalali wa kujinasibu kuwa ni ndugu na umkabidhi kila kitu akili ya kitumwa inakusumbua
Wewe mayala ni mtanganyika kwanza kabla ya kuwa mtanzania!! Utanzania unapata uhalali wake kugoka kwa utanganyika na uzanzibari!! bila utanganyika hakuna utanzania!!!!Mkuu Naantombe Mushi , usemayo ni kweli, hakuna tatizo lolote kwa mtu yoyote kujinasibu vyovyote vile apendavyo kwa nafsi yake, as long as utambulisho rasmi wa kimataifa ni Passport, hivyo kwa mujibu wa utambulisho rasmi unaojulikana kimataifa, hakuna cha Mzanzibari, Mzanzibara, wala Mpemba, Tanzania ina uraia mmoja tuu, Mtanzania, hivyo Mzanzibari kujinasibu kwa Uzanzibari wake ni rukhsa kwa ajili ya kujifurahisha na kuifurahisha nafsi yake, ila kimataifa hakuna Mzanzibari bali kuna mtu mmoja tuu, Mtanzania, na hao Wazanzibari wote wanaojinasibu na Uzanzibari wao ni kujinasibu tuu, ukweli ni kuwa hao wot Wewee ni Watanzania, na passport zao ni za Tanzania.
P
Huo wapo wanaousherehekeaga kimya kimya wakiwa mainland na kwa yowe wakiwa diasporaKama wanasherekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 12, 1964, it's OK, nilidhani ni wanasherehekea uhuru wa Zanzibar wa Desemba 10, 1963
P
Basi Zanzibar ilipo inatosha siyo lazima ilingane na Muscat/Oman.Muscat ilipo inatosha siyo lazima ilingane na Dubai.
Labda urudie kusoma huu uzi wote ndiyo ungenielewa. Pointi yangu ni kuwa Zanzibar ingejiunga na Oman badala ya nchi fukara iliyokuwa inaitwa Tanganyika, Zanzibar leo ingekuwa kama Muscat. Utajiri wa mafuta walioupata Oman ungenufaisha na Zanzibar pia kama ingekuwa ni sehemu ya Oman. UAE na Oman hawajaungana kwa hiyo sitegemei Muscat kuwa kama Dubai. Ni vitu tofauti na Zanzibar kuungana na Oman.Basi Zanzibar ilipo inatosha siyo lazima ilingane na Muscat/Oman.
BTW, hujanielewa mantiki ya mfano au swali langu.
Nilitaka kukuonesha hata kama Zanzibar ingepata uhuru hadi leo siyo lazima ingepata maendeleo kiwango cha Oman alikotoka sultan aliyetawala Zanzibar.
Kuna nchi ndogo ndogo vingine visiwa kama vya Zanzibar ambavyo vimeungana ua vipo chini ya France vingine chini ya UK lakini havina maendeleo kama France au UK.Labda urudie kusoma huu uzi wote ndiyo ungenielewa. Pointi yangu ni kuwa Zanzibar ingejiunga na Oman badala ya nchi fukara iliyokuwa inaitwa Tanganyika, Zanzibar leo ingekuwa kama Muscat. Utajiri wa mafuta walioupata Oman ungenufaisha na Zanzibar pia kama ingekuwa ni sehemu ya Oman. UAE na Oman hawajaungana kwa hiyo sitegemei Muscat kuwa kama Dubai. Ni vitu tofauti na Zanzibar kuungana na Oman.
Tofautisha makoloni na nchi zilizoungana. Visiwa vya Hawaii vimeungana na Marekani, vina maendeleo kama sehemu zingine za Marekani. Makoloni huwezi kulinganisha kimaendeleo na nchi zinazoyatawala. Zanzibar ingeungana na Oman kama kihistoria ndiyo ingenufaika na maendeleo ya Oman.Kuna nchi ndogo ndogo vingine visiwa kama vya Zanzibar ambavyo vimeungana ua vipo chini ya France vingine chini ya UK lakini havina maendeleo kama France au UK.
That's my point...
Ha ha haaa...Tofautisha makoloni na nchi zilizoungana. Visiwa vya Hawaii vimeungana na Marekani, vina maendeleo kama sehemu zingine za Marekani. Makoloni huwezi kulinganisha kimaendeleo na nchi zinazoyatawala. Zanzibar ingeungana na Oman kama kihistoria ndiyo ingenufaika na maendeleo ya Oman.