Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

Hiyo ni Kero . Wazanzibar washakiwa brain washed hata ughaibuni wanajitengatenga .wanaamini katika light skin kuwa ni waarabu na waarabu wanaona Kwa wao ndo kila kitu .wenyewe wanaita rangi ya mtume . Utakuta mtu rangi imefubaaaaa yeye kichwani anaamini ni mwarabu na wengine kwake ni bullshit .it's just colonial mentality
Kwani wewe unakereka vipi kuitwa Mtanganyika au Mmakonde? Mbona Mtikila (RIP) aliutweza Utanzania hadharani na kuutukuza Utanganyika?
 
Ni nadra sana kumkuta Mtanzania wa visiwa vya Zanzibar akijitambulisha kwamba yeye ni Mtanzania.

Nimefanya utafiti wangu usio rasmi kuhusu hili suala. Ukimkuta Mzanzibari nje ya nchi, halafu ukamuuliza ikiwa yeye ni mtanzania, mara nyingi utapokea jibu kwamba 'Mimi ni Mzanzibari'.

Yaani ni kwamba wazanzibari wengi huwa wanajaribu kwa namna yeyote, kuukwepa utanzania na wengi hawapendi kuitwa watanzania. Kwa waliotembea uarabuni mtathibitisha hili. Yaani ukitaka ukosane na mzanzibari huko arabuni, basi we muite mtanzania.

Inaonekana ni kama wazanzibari wanahisi tayari wapo daraja fulani hivi la juu, hivo kitu utanzania ni kuwashusha hadhi.

Hili jambo ni moja ya mambo ambayo nahisi yanahitaji uwepo wa serikali tatu, maana huko tunapoenda, itafika mahali hata sisi wa bara tutatamani kuitwa watanganyika.

Mi binafsi naanza kuchukia jina Tanzania. Maana yake sioni faida ya huu muungano ambao, kuna upande unautweza wazi wazi.
Aaahhhahahh Machogo buana!!
 
Hapana.

Hii itakuwa ni 'definition' mpya.
Waarabu toka zama na zama wanajulikana ni watu wa eneo gani na 'features' zao za maumbile zinajulikana, ikiwa pamoja na rangi ya ngozi inayowatambulisha. Of course, utamaduni ni sehemu moja tu ya utambulisho wao.

Itakuwa ni jambo la kushangaza kumwona mTanzania asili (mweusi), akijitambulisha kuwa yeye ni mwarabu, kwa vile yeye anafuata tamaduni za kiarabu!
Si mpya hata kidogo. Mtazamo wako labda ni kieeno, sikimataifa. Ukiwaangalia hao watu wanaojiita "Waarabu" duniani, wengi wao ni chotara. Maana unawakuta wale wanaoonekana kama "Mwarabu wa Jangwani", labda hao ni wajukuu wa Waarabu asilia wasiozaa na wengine. Ila hao ni wachache. Taifa kubwa ya Waarabu ni Misri. Ilivamiwa na Waarabu wa jangwani waliotawala, lakini watu ni walewale Wamisri wa kale walioanza kupokea lugha na dini baada ya karne nyingi. -
Waarabu unakuta "weupe" wenye macho ya buluu na "weusi" wasio tofauti na yeyote hapa kusini. Sababu ni 2
1) katika utaratibu wa Uislamu mabwana waliweza kuchukua (na kununua) wake wengi, na soko la watumwa lilileta warembo wa kila rangi. Hivyo walizaa na kila rangi. Katika sharia ya Kiislamu watoto wa MWislamu watakuwa Waislamu na sehemu ya familia, hata kama mama alikuwa mtumwa. (tofauti na mabwana huko Marekani - mtoto wa mtumwa alibaki mtumwa).
2) Waarabu walivamia eneo kubwa kutoka Hispania hadi mipaka ya China. Kutoka Iraki hado Moroko walifaulu kufanya lugha yao kuwa lugha kuu (zamani haikuwa vile), sasa hao wote ni "Waarabu". Lakini mababu walikuwa Berber, Wamisri, Washamu, Wababeli . . . . . Damu ileile. Lakini pamoja na watumwa kutoka kila upande unaona mchanganyiko mkubwa.
Umoja ni kiutamaduni: Lugha na pia dini (wamebaki Wakristo Waarabu).
 
Ni nadra sana kumkuta Mtanzania wa visiwa vya Zanzibar akijitambulisha kwamba yeye ni Mtanzania.

Nimefanya utafiti wangu usio rasmi kuhusu hili suala. Ukimkuta Mzanzibari nje ya nchi, halafu ukamuuliza ikiwa yeye ni mtanzania, mara nyingi utapokea jibu kwamba 'Mimi ni Mzanzibari'.

Yaani ni kwamba wazanzibari wengi huwa wanajaribu kwa namna yeyote, kuukwepa utanzania na wengi hawapendi kuitwa watanzania. Kwa waliotembea uarabuni mtathibitisha hili. Yaani ukitaka ukosane na mzanzibari huko arabuni, basi we muite mtanzania.

Inaonekana ni kama wazanzibari wanahisi tayari wapo daraja fulani hivi la juu, hivo kitu utanzania ni kuwashusha hadhi.

Hili jambo ni moja ya mambo ambayo nahisi yanahitaji uwepo wa serikali tatu, maana huko tunapoenda, itafika mahali hata sisi wa bara tutatamani kuitwa watanganyika.

Mi binafsi naanza kuchukia jina Tanzania. Maana yake sioni faida ya huu muungano ambao, kuna upande unautweza wazi wazi.
Ni kweli kabisa. Nilwahi kuishi nao Uingerza kwa mwaka mzima. Pia wanabaguana muunguja na mpemba. Sababu kubwa ya wapemba chukia waunguja na watanganganyika walikuwa wanasema ni kubaguliwa kutawala kwa wapemba jambo walilosema linaungwa mkono na watanganyika. Sijui kuna ukweli ganI ILA NASIKITIKA WAZANZIBAR WANANUNUA ARDHI NA KUJENGA HUKU TANGANYIKA ILA NIMESIKIA HUKO KWAO TUKIENDA TUTAPATA ARDHI KAMA MWEKEZAJI? JE NIKITAKA NIJENGE NYUMBA YA KUISHI TU INAKUWAJE?
 
Nani kakudanganya mkoloni atakuletea maendeleo. Miaka yote oman ilitawala zanzibar nn cha maana imeacha
Oman walikuwa hawana utajiri wa mafuta wakati ule. Zanzibar ingeungana na Oman, wakati walivyoanza kutajirika na mafuta Zanzibar ingefaidika pia. Huu mnaouita muungano uliopo sasa ni wa kugawana umasikini tuu na chuki. Faida yake nini?
 
Kuna watu ni wapuuzi sana ukikaa na hao watu utaona sijui akili zao zina tope la mavi yaaan wanamuona mwarabu km sijui ni nani kumbe waarabu nao ni wapuuuzi tu unakuta jitu linajitenga na nyie linajionaaa hua nacheka tu ukija kujua kumbe baba yake ni mnyamwezi ama mmakonde walio mama kaibia kwa mwarabu.Wangejua waarabu wanavowachukulia watu weusi hata kujikomba kwao wasingetaka ni bora hata ya mzungu .
Mara elfu kumi ya mzungu Ngosha wa busisi. Hii mijitu ishakuwa brain washed nimesema. Sometimes utakuta Wana utambulisho wa vipilipili ngozi hata chungu ni cheupe. Hafu wangejua waarabu walivyo na roho mbaya balaa
 
Oman walikuwa hawana utajiri wa mafuta wakati ule. Zanzibar ingeungana na Oman, wakati walivyoanza kutajirika na mafuta Zanzibar ingefaidika pia. Huu mnaouita muungano uliopo sasa ni wa kugawana umasikini tuu na chuki. Faida yake nini?
Sasa inheungana na Oman wakati visiwa vyenyewe Mungu bariki vimemeguka bara na wabara mngewapeleka wapi .ushamba na elimu Naona ndo tatizo hapa
 
Nasikia kwa sasa Tanganyika inatumika kuijenga zanzibar kwa migao ya pasu kwa pasu.......nafikiri ndani ya utawala wa chifu hangaya zanzibar inageuka kuwa dubai.
 
Sasa inheungana na Oman wakati visiwa vyenyewe Mungu bariki vimemeguka bara na wabara mngewapeleka wapi .ushamba na elimu Naona ndo tatizo hapa
Unajua hivyo visiwa vilimeguka lini? Milioni ya miaka iliyopita. Sasa nani aliishi hapo bara hiyo miaka? Unajua wabantu walianza kusambaa lini mpaka wakafika hapa? Ni kweli ushamba na elimu ndiyo tatizo.
 
Long time ndiyo ila vikizama hakuna anaeweza piga mbizi mpaka Oman so kinga ni Bora kuliko tiba .haya jibu na hoja ya kujifanya waarabu wakati vinasaba ni vya kuangaliwa na Telescope tena ya anga za mbali
 
Njaa Tu yaani ukiolewa ndo unatajirika ?
Mbona hujibu swali? Mambo ya Zanzibar yanakuhusu nini? Mbona mambo ya Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo na kwengine huyaingilii kama unavyotaka kuingilia Zanzibar? Hamjaoa, mmevamia Zanzibar. Na iko siku mtaondolewa kwa sababu ya mentality kama zako na za yule baba yako Nyerere. Unaona Zanzibar kama mkeo badala ya kuiona ni nchi mliyoungana nayo. Wazanzibari wamechoka.
 
Ujue tuna wake huko brother ohooo. Zanziba ni damu ya bara Ila tatizo linaletwa na colonial mentality ya wachache wanaojifanya waarabu
 
Ujue tuna wake huko brother ohooo. Zanziba ni damu ya bara Ila tatizo linaletwa na colonial mentality ya wachache wanaojifanya waarabu
Kihistoria Zanzibar ilikuwa sehemu ya Oman. Sasa asili haipotei, siyo colonial mentality. Oman ni ndugu. Tatizo Zanzibar ilivamiwa baada ya mapinduzi haramu na ya kishetani yaliyomwaga damu za watu wasio na hatia. Kama haya yasingetokea kungekuwepo na uwezo wa kuungana na Oman tena.
 
Nyerere alishasema kwenye hotuba zake hakuna uzanzibar wala uzanzibar

Kama mwasisi anasema hivyo wewe unangoa porojo tu hapa
Na Nyerere kwako ni mtume ? ... ati Nyerere kasema sheiz type wewe.
 
Kihistoria Zanzibar ilikuwa sehemu ya Oman. Sasa asili haipotei, siyo colonial mentality. Oman ni ndugu. Tatizo Zanzibar ilivamiwa baada ya mapinduzi haramu na ya kishetani yaliyomwaga damu za watu wasio na hatia. Kama haya yasingetokea kungekuwepo na uwezo wa kuungana na Oma
Inahitaji vizazi na vizazi kuulewa ukweli maana hapo unaamini ni mwarabu .duuu pole babu weee Ila tushajiburudisha huko so tuna wajonba zenu
 
Back
Top Bottom