Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Utambulisho wa uraia is something to be proud of, ni uzalendo kama ulivyo utambulisho wa mahusiano.Hahahahahaahahah!
Deep down your heart inakuuma wao kufanya hivyo.
Zamani Binti Zanzibar alikuwa huru na utambulisho wake na passport yake na kiti chake kule UN.
The same applies for Tanganyika.
Wakaanzisha mahusiano mapya ya muungano kama ndoa, wawili hawa, wakaungana kwa upendo na kuwa kitu kimoja, Tanzania.
Hivyo Zanzibar na Tanganyika ndio yule Bwana wa zamani, Bwana mpya wa sasa ni Tanzania!.
Kama nilivyoeleza muungano wetu ni kama ndoa, kuna the provider, the breadwinner and the recipient, hivyo ni kweli the breadwinner ni kama ana kiwivu fulani, kila mara mwenza wake anapojitambulisha kwa kujisibisha na yule Bwana wake wa zamani!, just imagine hata ungekuwa wewe, Relief Mirzska , kwa huyo mume aliyekuoa sasa, wewe ni chuo cha pili. Kila mkitoka out, mumeo anakutambulisha, huyu ndio mke wangu wa sasa, baada ya kuachana na Binti Sultan (mke wake wa kwanza), ndio sasa nimemuoa huyu bi Relief Mirzska !. Utafurahi?.
p