Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

Hamuwezi kusoma wo oote, tuacheni sisi tuliofuta ujinga tutawaingizia luku kwenye mita
 
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?
Swali:

-ni hawajui kabisa kusoma na kuandika?

Au

-ni hawajui kusoma na kuandika vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…