Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.

Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.

Ndugu zetu?
Swali:

-ni hawajui kabisa kusoma na kuandika?

Au

-ni hawajui kusoma na kuandika vizuri?
 
Back
Top Bottom