Wazazi, acheni kuwapotezea muda watoto wa kiume kuwafundisha kupika!

So unaishi kisela na mkeo na watoto. Wageni wakija mnaishi nao vipi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chefs ni wanaume hotel zote, humu kuna vijana akili zao ni shake well before use.
Hiyo inarelate na hii topic. Chiefs ni purely professional food makers that is rewarded a salary au wage but wife cooking is a form of gender service to the family the rewards for it is not a salary but marriage or family benefits for a wife.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu anasema mwanaume asijifunze kupika kama atapenda but ni absurd kufikiri kuwa ni wakati sasa watoto wa kiume wawe trained kupika as a mandatory life skill kwao wanayohitaji katika ndoa na mahusiano. That is a complete rubbish can [emoji3054].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namna umeongea hapa utaona ni dhahiri unazungumzia case ya emergency. Huyo kuku hawezi kuoza katika friji kwa siku mbili au tatu. Njaa ya siku moja haiui. Plus hana haja ya kufa atakwenda kula kwa mama ntilie the next day atampigia girlfriend wake aje wapike wale chakula kizuri.

Why mtoto wa kiume awe anakaa jikoni kupika kama part of his daily chores and home tasks. Thats absurd.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa. Maybe akiwa anataka kuget them draws. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende taratibu nione kama hizo akili unazo kweli, unaelewa mshahara wa Chef hotelini ni kiasi gani?

Kwamba unataka kutuaminisha wanaosomea hotel management ni wapuuzi watupu na wanatowa huduma za catering hamnazo?
Hao ni professional cooks. Kama vile wanaoosha magari si kwamba wewe hauwezi kuosha gari yako. Au dobi haimaanishi huwezi fua.

These people live for this as their jobs and occupation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado mnafeli kuestablish connection kati ya swala la kujifunza kupika na maisha ya mwanaume. Ni sawa kusisitiza mtu asomee uvuvi wakati anatokea nchi isiyo na water bodies wala bahari. Sasa hiyo skill ataiacquire kwa faida gani na yeye hana shida nayo katika safari yake ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena!Hata Mimi nilitaka kuandika hivihivi Kwa sababu niliangalia kwanza avatar yake.Huyu mtu ni dhaifu,kama lilivyo jina lake Kumbe majina husadifu undani wa watu.
Anaweza kuwa dhaifu ila hoja yake ni ya msingi. Hukuwahi sikia ile story ya mtoto mdogo waliyeshinda vita dhidi ya majeshi laki 3 kwa kutumia ua?!

Anyways ntaihadithia siku nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwetu tarime mtoto wa kiuume haruhusiwa kupita karibu na jiko lilipo
siku moja babu mzaa mama almanusura awchomee moto watoto wake wa kiume alipowakuta jikoni wako na mama yao
alifunga kamlango akawasha moto, bahati yao kamlango kalikuwa weak
Ni mojawapo ya mbinu za kiumeni za kuwafundisha wanaume uimara na kutambua mipaka ya kitabia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani imefika mda watoto wa kiume waanze kufundishwa na tactics za uchakataji,,,sio unakuta toto la kiume ziiiito kwenye mademu mwishowe yanakuwa mapunga
Mtoto wa kiume anafundishwa kukata nyanya na vitunguu. Mwisho wa siku anakuwa vizuri hadi anamshinda mkewe wanagombana ndoa haidumu anakuja kuwa marioo anakutana na jimama lifanya biashara linamuweka ndani linakuwa likirudi linamwita honey, umenipikia nini leo dear?!

PATHETIC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How is Civilization related to Reverse genderism mkuu you seem off point with your comments.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali ni kama kupika sio kitu cha kushangaza kwa mwanaume.
Then ni kwanini wapishi wa utotoni mnahangaika kujitetea kwa nguvu?

Mna mashaka na maamuzi ya wazazi wenu na mko insecure?
Bila shaka ni hivyo hivyo.
Very true. Wameshtuka tayari too late wanashangaa inakuwaje tumeambiwa tofauti halafu tunakuta tofauti ndio wanabisha. Hii inaitwa 'cognitive dissonance behavior'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…