Akili za kitoto hizoUnauza nchi ununue Teknolojia uite akili kubwa? Utaishi wapi nyumbu wewe?
Uza Rasilimali ukiwa unazonyingi, lakini unahiyo hiyo moja unauza kisa elimu si Utaonekana Mpumbavu?
Huwezi uza simu ununue vocha, au uuze Baiskeli ununue Kengele, labda uwe kichaa.
Unapofanya Jambo lolote usisahau akili na maarifa.
Hangaika na mali yako Acha masuala ya urithi ndipo utaendeleaMaisha yamekuw magumu , wazee wa sikuhz ata uwambie natak kuoa wanakwambia kila la Heri hawakupi hata sehemu ya mahari
Mi naona kama unasema yana ukweli fuln ni muhm japo sio lazm wazazi watazame maish ya kizazi chao kinasimama vp kiuchumi
Pengn wazaz unakuta wazee lakn wanakomaa na mali nyingi wew unateseka na tatzo linakuja akifa muaze kupgan wakat angetoa sehemu ya mali mkayaanda na nyie maisha .
Mimi sikurithi, watoto wangu hawakurithi pia! Acha mawazo ya kipuuzi tafuta vyako
Acha nadharia, Mbona tumefanikiwa kwa kutopata urithi. Watoto sasa wana pesa zaidi yangu kutokana na vision ya ukoo ya kutorithi.Well said. Wazazi waione hii.
Ni rahisi zaidi kwa mtoto wa kihindi au kiarabu kutoboa maisha hapa TZ maana wanrithishwa Masemi trailers , maduka, viwanda na makampuni. Na baadhi ya watoto wa weusi wenzetu pia wanaojua Nini maana ya maisha.
Na anaanza kuelekezwa mapema mno. Sasa biashara unayoanza kujifumza baada ya kufeli shule au kukosa kazi na umeshakuwa na matheory kibao kichwani wakati wenzio wako practical , huwezi kushindana nao.
Wazazi tulione hili.
Hangaika na mali yako Acha masuala ya urithi ndipo utaendelea
Ungejua Nina wajukuuUtanielewa baadaye au wajukuu zako watanielewa Kama Baba Yao alikuwa mwehu.
Wanasiasa na watu wakubwa wote wanajua ninachokisema ndio maana wanalimbikiza Mali, wananunua hekari Kwa hekari za Maeneo,
Lakini masikini wawatu wanauza Rasilimali ambazo ni Urithi ili watoto wasome, watoto wakimaliza shule hawana Mali na elimu haiwawezi kuiuza wapate hizo Mali.
Kwa vile wewe ni mtu ambaye bado hujajua kuchanganua mambo ndio maana huwezi elewa nazungumzia Jambo gani.
Hangaika na mali yako Acha masuala ya urithi ndipo utaendelea
Ungejua Nina wajukuu
Urithi unafanya watoto kufikia wakati wakaua wazazi! Mtu anayerithi vyangu ni mjukuu! Watoto wametafuta vyao. Kuna tofauti kati ya kumwezesha mtoto na urithi kumbukaSi kwamba na dili na urithi , mimi ni mtu na family ya watoto 2 na mke na najitegemea kwa 100%
Hilo nmesema kimtazo , hiyo ktu ipo hata uko kwa mahindi na marekan lazm uweke ngazi ya kumtish mwanao afanikiw Elimu si kitu san sikuhiz kama kutengenezew mazngr ya kushkw mkono baada ya kuhitimu either na kukosa ajira
Napoteza muda kujadiliana na juha kama wewe, tafuta vyako epuka kutegemea urithiNdio uwape watoto Urithi usilete uhuni wako hapa.
Wewe sio Kwa vile ulikuwa na uwezo wa ku-fight ukadhani hata watoto wako au wajukuu watakuwa hivyo. Kama unafikiri hivyo jua akili zako zinamashaka,
Ninapoandika hapa simaanishi Mimi nategemea Urithi Hasha! Isipokuwa najaribu kuangalia Wale wenzangu na miye wasio na uwezo wa kupambana na maisha.
Urithi unafanya watoto kufikia wakati wakaua wazazi! Mtu anayerithi vyangu ni mjukuu! Watoto wametafuta vyao. Kuna tofauti kati ya kumwezesha mtoto na urithi kumbuka
Napoteza muda kujadiliana na juha kama wewe, tafuta vyako epuka kutegemea urithi
Taikon umefika pabaya
Huyu bangi zinamsumbuaTaikon umefika pabaya
dah hii mada inamgusa kabisa dingi yangu