Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

Urithi ni hadi wazazi wafariki, unashauri wajinga wenzio waendelee kuishi kwao huku wakisubiri hilo….. pumbavu.!
Nani alikwambia ujinga huo? Kama wewe ni Mkristo kasome Yakobo aliwarithisha wanae angali hai. Mimi mwenyewe Babu yangu aliwarithisha baba zetu akiwa hai. Sisi wenvewe baba yetu aliturithisha akiwa hai na mimi nataka niendeleze utaratibu huo. Wazazi ni lazima tuwaandalie watoto wetu urithi no matter what na tuwarithishe tungali hai.
 
Kila mtoto amjengee ya kwake. Wewe ndo huelewi. Mzazi kurithisha wanae urithi ni jukumu la kiungu kwani ndo maagizo ya Mungu. Muwe mnaekewa.
Unaonekana mhaya lakini mawazo ya kichagga! Urithi umewafikisha kwenye vihamba vyenye Mashiba ya migomba matano. Ni umaskini tu! Tafuta vyako vya baba yako ni vyake vimtunze hadi afe. Akivigawa is utamtunza wewe? Kwani yeye alijengewa na baba yake?
 
Ndo nnachokwambia mzazi ni lazima uandae mali za kutosha kwa kizazi chako. Na usilenge wanao tu walenge hata wajukuu. Mtu yeyote aliyerithi urifhi toka kwa baba yake huwezi kumlinganisha na yule aliyeanzia from the scratch. Tofauti yao ni kubwa.

Mimi mweyewe kwetu babu aliwarithisha baba zetu akiwa hai,baba yetu mzazi mwenyewe katurithisha akiwa hai na bado wote walibaki na mali zao za kuwatunza. Acheni uvivu wekeza muwaachie wanenu urithi.
 
Unakuta mzee kauza mashamba na mifugo yake ili mtoto asome....

Haiwezekani urudi kuomba mali za urithi, mali zinabaki kwa wale ambao hawajasoma...

Wewe urithi wako umeutumia kwenye kupata elimu...
Unauzaje mashamba ili mtoto asome? Lima upate mazao ukauze kisha upate ADA ya mtoto, kwahiyo ukikosa ADA unaweza uza nyumba unayoishi ili utatue hiyo shida?
 
Mimi sikurithi, watoto wangu hawakurithi pia! Acha mawazo ya kipuuzi tafuta vyako
Ndugu Maisha ni muendelezo wa kizazi na mali.Sasa kila kizazi kikiwa kinaanza kutafuta upya ni lini koo/familia zitatoka kwenye lindi la umasukini.Hapa ndipo Wahindi na Waarabu walipo tushinda.Suala la Uchumi sio la mtu binafsi,ni suala la familia/ukoo.
 
Sisi wazee wengine hatuna cha kuwapa wanetu zaidi ya kulipa ada huko mashuleni/vyuoni.
Mleta mada unataka tukate pyumbuu zetu ndio uone tumewapa urithi wanetu?
Acha hizo aisee))
 
Maisha yamekuw magumu , wazee wa sikuhz ata uwambie natak kuoa wanakwambia kila la Heri hawakupi hata sehemu ya mahari

Mi naona kama unasema yana ukweli fuln ni muhm japo sio lazm wazazi watazame maish ya kizazi chao kinasimama vp kiuchumi

Pengn wazaz unakuta wazee lakn wanakomaa na mali nyingi wew unateseka na tatzo linakuja akifa muaze kupgan wakat angetoa sehemu ya mali mkayaanda na nyie maisha .
Tena unaoa kwa mbinde ukishaoa tu naye anakuwa mmoja wapo ya wahitaji Baba ana miaka 50 lakini hawezi kujitunza kutwa kwa watoto ambao hata atua moja hajamridhisha hili tatizo kabisa
 
Nani alikwambia ujinga huo? Kama wewe ni Mkristo kasome Yakobo aliwarithisha wanae angali hai. Mimi mwenyewe Babu yangu aliwarithisha baba zetu akiwa hai. Sisi wenvewe baba yetu aliturithisha akiwa hai na mimi nataka niendeleze utaratibu huo. Wazazi ni lazima tuwaandalie watoto wetu urithi no matter what na tuwarithishe tungali hai.

Huyo katika hili Hana ajualo, ni Wale Wazee wahuni.

Yeye aseme Hana tutamuelewa lakini sio kuongea upumbavu hapa akadhani Sisi ni wapumbavu Kama maneno yake yalivyo
 
Back
Top Bottom