Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

Hili la kuandaa urithi wa watoto ndio ujinga wenyewe. Mtoto anatakiwa atafute zake. Amewezeshwa elimu sio lazima asaidiwe kupata kazi, elimu impe kipato. Huu ujinga wa kusubiri urithi ndio taifa la wapumbavu linaanzia kwenye familia kumbe za aina hii


Familia zisizoacha Urithi ndio Masikini Budah!

Ukiona ukoo na familia hautoi Urithi ujue ni wajinga na masikini Kabisa.

Jamii zote zenye nguvu zinajua na kukizingatia nikisemacho.
Dini zote makini zimeeleza hili.

Ni wapumbavu Kama wewe ndio hawajui Jambo hili.

Elimu hata mbwa anaweza akapewa.
 
Urithi unafanya watoto kufikia wakati wakaua wazazi! Mtu anayerithi vyangu ni mjukuu! Watoto wametafuta vyao. Kuna tofauti kati ya kumwezesha mtoto na urithi kumbuka
Wanawalea wenyewe vibaya mwishowe wanawageuka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (mafi) umenikumbusha mama mwenye nyumba wangu Moro mpaka niliuliza ndiyo nini haa haa haa
 
Sie tulirithi nini kwani,

komaeni mpate vyenu, wenzio tutauza mpaka sindano kabla ya kwendazetu.
 
Wazazi wa siku hizi akifikisha 45/50 mwanaye 25-30 hapo Baba miguu juu kila kitu kwa mwanaye, hujasikia kina Baba wanawambia watoto wao wakiume waoe wanawake wenye kazi ili wasaidiane hapo wanapiga hesabu ili matumizi yasipungue kwao.
 
Mzazi wa kitanzania kazi yake ni kukutunza upate nguvu ya kujipambania. Mengine ni ziada, hata elimu sio kazi yake ni ya serikali.
 
Mzazi wa kitanzania kazi yake ni kukutunza upate nguvu ya kujipambania. Mengine ni ziada, hata elimu sio kazi yake ni ya serikali.


🤣🤣🤣

Kazi kuu ya serikali/mzazi Mkuu no kurithisha Mali/nchi toka kizazi mpaka kizazi.
Kuhakikisha ulinzi na usalama Kwa wananchi, na kutoa Huduma muhimu kubwa kubwa
 
Ni wapumbavu tu kama wewe ambao wanaishi kwa kuvizia wazazi wafe, au walisishwe. Hapo ulipofikia imetosha unanyo manyoya ya kwapa kwa wazazi wako ni mpumbavu.
Elimu, afya ni mtaji tosha
Williamson alitoka kwao kuja ku hustle maisha huku mwisho amekufa na mgodi wa almasi

Akina Bill Gate walidrop shule na kupambana walirithishwa nini wa ng"ombe wa mayai?
 


Acha hadithi za vijiweni Budah!

90% matajiri wamerithi Mali kutoka Kwa Baba au Babu.

Wewe kalia hapo hadithi za kufikirika.

Unafikiri sheria za mirathi zipo Kwa ajili ya nini??

Ninyi ndio hawa wazazi wahuni ninaowazungumzia hapa.

Waarabu, wahindi, wayahudi, wachina, Wazungu wote wanajua nikisemacho Ila wewe Kwa vile umelemazwa na kusomea ujinga hujui nijazungumzia nini.

Elimu sio Urithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…