5th Estate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 311
- 273
Tatizo mmepotoshwa ili wenye akili waishi raha mstarehe ninyi muendelee kuishi kwa kubahatisha.Ni wapumbavu tu kama wewe ambao wanaishi kwa kuvizia wazazi wafe, au walisishwe. Hapo ulipofikia imetosha unanyo manyoya ya kwapa kwa wazazi wako ni mpumbavu.
Elimu, afya ni mtaji tosha
Williamson alitoka kwao kuja ku hustle maisha huku mwisho amekufa na mgodi wa almasi
Akina Bill Gate walidrop shule na kupambana walirithishwa nini wa ng"ombe wa mayai?
Mrithi ana majukumu makubwa kuliko wewe muajiriwa (Mtumwa).Mrithi anajukumu la kutunza na kuendeleza mali aliyorithi mpaka pale atakapo ikabidhi iyo mali kwa kizazi kinachofuata.