ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,704
- 1,694
ungeniambia wazazi wawashirikishe watoto/familia katika biashara ili wakiondoka watoto waweze kuziendeleza ningekubali. Wazazi wengi matajiri, utajiri wao hupotea baada ya kufariki, na hii ni kwa jinsi waliyoendesha biashara zao bila kuwashirikisha/kuwafundisha watoto. Aklifariki mwenye mali, wakichukuwa watoto huwa wanadhania biashara ni kutumbua na haichukui muda wanafirisika..Si kwamba na dili na urithi , mimi ni mtu na family ya watoto 2 na mke na najitegemea kwa 100%
Hilo nmesema kimtazo , hiyo ktu ipo hata uko kwa mahindi na marekan lazm uweke ngazi ya kumtish mwanao afanikiw Elimu si kitu san sikuhiz kama kutengenezew mazngr ya kushkw mkono baada ya kuhitimu either na kukosa ajira