Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

Si kwamba na dili na urithi , mimi ni mtu na family ya watoto 2 na mke na najitegemea kwa 100%

Hilo nmesema kimtazo , hiyo ktu ipo hata uko kwa mahindi na marekan lazm uweke ngazi ya kumtish mwanao afanikiw Elimu si kitu san sikuhiz kama kutengenezew mazngr ya kushkw mkono baada ya kuhitimu either na kukosa ajira
ungeniambia wazazi wawashirikishe watoto/familia katika biashara ili wakiondoka watoto waweze kuziendeleza ningekubali. Wazazi wengi matajiri, utajiri wao hupotea baada ya kufariki, na hii ni kwa jinsi waliyoendesha biashara zao bila kuwashirikisha/kuwafundisha watoto. Aklifariki mwenye mali, wakichukuwa watoto huwa wanadhania biashara ni kutumbua na haichukui muda wanafirisika..
 
Mlee mtoto katika njia impasayo(Elimu) nayo hataiacha mpaka atakapokuwa Mzee.

Kisha mpe Urithi atumie elimu uliyompa kuendeleza ulichomrithisha
 
Nimesoma hii hoja ya mtoa mada, nikatumia dakika kadhaa kufikiria matajiri na marafiki wenye ukwasi nachelea kusema Yupo sahihi. mtachukia tu ni hali ya kibinadamu ila hoja yake ina mashiko.
Baada ya kumaliza masomo ni rahisi mno kufanikiwa kimaisha kwa mtoto aliekabidhiwa mali ukilinganisha na yule ambaye ndio inabidi aanze kutafuta.. Endapo huyu wa pili hatogundua hilo na kuacha urithi wa mali kwa mwanae.. basi mwanae atapita njia ile ile ya mahangaiko baada ya kumaliza kusoma, kwa namna hii umasikini ni ngumu kutoweka kwenye huo uzao.

Nilishawahi andika hapa usisaidie masikini kuna wakanipinga lakini najua wataungana na Mimi kadiri siku ziendavyo.

Umasikini mara nyingi upo kichwani.

Sasa jitu limezaliwa, limehangaika na maisha Kwa taabu likafanikiwa Kwa kudra na Maulana, badala liwekeze na kuacha Urithi Kwa watoto wasihangaike kama lenyewe lilivyokunya mavi, haliachi Urithi.

Watoto nao wanaanza moja utadhani wao ni wakwanza Duniani wakati walikuwepo Baba na Babu zao.

Ukisikia nchi zisizoendelea zinatokana na Wazee WA hivi.

Mtoto aendeleze alichorithishwa na sio afike alafu aanze upya utadhani amejizaa.
 
Mzazi halazimiki kwa namna yoyote ile kugawanya mali zake kama urithi. Hakuna sheria inayomlazimisha kugawa mali kwa watoto wake kama haridhishwi na mwenendo wa zao lao. Mali zilizochumwa na wanandoa ni mali ya wanandoa hadi hapo watakapoamua kuwagawia mali watoto kwa hiali, lakini sio lazima!.

Sio lazima Kwa wahuni.

Huwezi mzaa mtoto alafu usimpe Fungu lake labda uwe mwendawazimu usiyejitambua.

Wazazi wasiojielewa, masikini wa Mali na akili ndio huwaza hivyo.

Mtoto hata Kama huridhishwi naye unaowajibu wa kumpa Fungu lake, hakukutuma umzae, mpe fungu lake atajua mwenyewe.
Sio ulete Uhuni wako WA kipuuzi.

Sheria za Dini ni lazima kuacha Urithi Kwa watoto wa kuwazaa.
Achana na sheria hizi zinazoweza kutungwa na wahuni walioweza kujipenyeza kwenye uongozi.
 
Kwa baba yangu wote wamepewa urithi kujengewa nyumba na mashamba wamepewa,not less pia wameenda shule na ajira wanazo...wakapata ubavu wa kuoa na kuzaa mapema coz mali zipo...now nimekuwa mkubwa nina elimu tu sina ajira,sina urithi walionipa....bado napambana niweze japo kupata basic needs.....halafu wanakuja wanataka nioe....natamani niwaoneshe wao kwaninj walioa mapema ila nabaki nanyamaza tu
 
😀😀😀😀

Ati unavyohangaika hivyo siku Mungu akufungulie njia alafu uzae watoto badala uwaandalie Urithi wasihangaike kama ulivyohangaika, wewe unakalia elimu sijui blah blah blah!
Huo ndio Uhuni
 
Ungesema na wewe umejipangaje kutoa huo irithi wa majumba shanba na mahotel. Aisee hii ndo mitoto aikion wazazi wana iwezo inatamani wafe irithi kilichopo. Umepewa elimu itumie kuanzisha vya kwako! Nyambafu!
 
Urithi unafanya watoto kufikia wakati wakaua wazazi! Mtu anayerithi vyangu ni mjukuu! Watoto wametafuta vyao. Kuna tofauti kati ya kumwezesha mtoto na urithi kumbuka
Karithishe wajukuu watoto wampeleke Mahakamani
 
Back
Top Bottom