Wazazi amkeni, simu mnazowanunulia watoto wenu wanazitumia ndivyo sivyo

Mangwea1900

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2025
Posts
2,484
Reaction score
3,277
Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smartphone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao.

Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu

Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.

Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Soma na uelewe ninacholenga
1. Uwezo wa Kufanya Kazi Nzito za Kielimu
Laptop ina uwezo mkubwa wa kuendesha programu za kitaaluma kama:

Microsoft Office (Word, Excel, PowerPoint)

SPSS, MATLAB, AutoCAD, R, Python, n.k.

Kuandika research papers, reports na presentations

Smartphone inaweza kusaidia, lakini haiwezi kufanya kazi hizi kwa ufanisi mkubwa.

2. Kuandika na Kuhariri Documents kwa Urahisi
Kuandika kazi ndefu kama mijadala, essays, projects au dissertation ni rahisi kwenye laptop.

Keyboard ya laptop ni bora kwa kuandika kwa kasi na usahihi.

3. Urahisi wa Kusoma na Kupitia Materials
Kusoma PDFs, slides, na eBooks ni rahisi zaidi kwenye screen kubwa ya laptop.

Laptop pia inaruhusu multitasking — unaweza kuwa na vitabu, notes na browser vyote kwa wakati mmoja.

4. Mahitaji ya Vyuo na Majaribio
Vyuo vingi vinahitaji wanafunzi wawe na laptop kwa ajili ya ku-submit assignments, kufanya mitihani ya mtandaoni, au kuhudhuria lectures za mtandao (Zoom, Google Meet, n.k.)

5. Uwezo wa Kutunza na Kuratibu Files
Laptop ina storage kubwa zaidi, hivyo unaweza kuhifadhi maelfu ya nyaraka, lectures, videos, n.k. kwa urahisi.
Karibu kwa mwenye hoja
 
Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smart phone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Kwaherini
Wewe nawe ni ng'ombe uliyechangamka
 
Mawazo ya kipuuzi kabisa haya.
 
Siungi mkono uovu unaofanywa na baadhi ya wanachuo ila pia siungi mkono huu uzi wako. Kwanza kabisa mwanachuo sio mtoto ndo maana anakopeshwa ili kulipia masomo yake. Pia kwa dunia ya leo smartphone inatumika kuliko laptop. Kuhusu kutumia simu kutazama porno hata kwenye laptop inawezekana sana. Mimi nilisoma enzi hakuna smartphone tukawa tunatazama ZE UTAMU kwenye desktop. Kwa hiyo iwe ana simu au bila simu akiamua kufanya ushenzi atafanya tu.

Wazazi/walezi waweke msingi mzuri wa malezi kuanzia utotoni vinginevyo watalaumu teknolojia. Tatizo watoto wengi kwa sasa wanalelewa na ma-housegirl. Wazazi wako bize na kutafuta hela.
 
Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smart phone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Kwaherini
Uzi wa kijinga zaidi tangu mwaka huu 2025 uanze na karibu tunaelekea ukingoni.

Zikitolewa tuzo za uzi wa kipumbavu zaidi kwa mwaka huu hakika utashinda.
 
Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smart phone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Kwaherini
Tupatie hapa chimbo la laptop nzuri za kuanzia bei tajwa hapo
 
MZAZI MWENYE AKILI TIMAMU ASIFATE USHAURI HUU WA KIPUMBAVU.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbona unauwezo mdogo sana wakufikiri .
Sasa laptop na simu kitu ni kile kile alafu laptop utaweza beba kirahisi kama simu.

Kwanza issue kuna issue ya ratiba .kama vile kuhama venue atakuwa anatumia laptop muda wote ?

Kuna issue ya kusoma notes ambazo zipo kwenye soft copy na kuna baadhi ya vyuo hamna access ya kuchaji kwenye vibweta vyote kahiyo hiyo pc ya lak 250k aiwez kaa na charge zaid ata ya masaa 4

Kwa hiyo kila kitu kina kazi yake. NB alafu wale watu wameshakuwa wakubwa uwezi mpangia mtu mzima utajitesa tu.

Utalipia hostel yey ataenda kupangishiwa huko na mubaba wake😂😂 wew uko zako njombe huko uji kitu mtoto yupo dar .wew chakufanya achana naye utachanganyikiwa tuu
 
Ngoja ukue maziwa yakiisha mdomoni uje tuongee
 
Back
Top Bottom