Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
- Thread starter
- #21
Mzazi mwenye akili hawezi kusikiliza mawazo ya mtoto kama wewe ambaye ni kula kulalaMZAZI MWENYE AKILI TIMAMU ASIFATE USHAURI HUU WA KIPUMBAVU.
Mzazi mwenye akili hawezi kusikiliza mawazo ya mtoto kama wewe ambaye ni kula kulalaMZAZI MWENYE AKILI TIMAMU ASIFATE USHAURI HUU WA KIPUMBAVU.
Siku ukiweza kujua style ya kunyoa nywele uje tuongeeHizo pumba za mwanzoni tunakuachia,
weweTupe Specs za laptop za 250,000 zinakuaje?
Kabla ya kuwa na uwezo waa kumiliki bunduki ni lazima uwe na ajira na ujitegee sio wa ugali wa kengele kama wewe kutwa kushuka makalio ya ma house maidWewe ni tatizo mkuu ,ungekuwa karibu ningekupiga risasi leseni ya kuvuna wajinga kama wewe ninayo.
Sibishani na aliyekosa adabuJinga kweli wewe
Kawadanganye wasiofika chuoMiaka hii ukiwa chuo bila smartphone ni kipengele.
Kwanza ni mwanafunzi mzembe pekee ambae mpaka anaingiq hana simu akitegemea mzazi amnunulie.
Siku mzazi wako akishtukia ujinga wako umeishaUzi wa kijinga zaidi tangu mwaka huu 2025 uanze na karibu tunaelekea ukingoni.
Zikitolewa tuzo za uzi wa kipumbavu zaidi kwa mwaka huu hakika utashinda.
Utakamilika utu uzima siku ukiwa kwako na unajitegemea umri pekee sio kigezo cha utu uzimaVijana waliopo vyuoni wengi wao ni 18+ hao sio watoto tena, ni watu wazima.
Siku ukiwa na uwezo wa kununua kitanda na kupanga chumba cha elfu 10 uje na hojaWewe nawe ni ng'ombe uliyechangamka
Acha utetezi mwingi najua unaelewa nilicho maanisha...Tumia akili kufikiri badala ya hisia
Smartphone ni kwa ajili ya mawasiliano zaidi ndio maana zilianza laptopSiungi mkono uovu unaofanywa na baadhi ya wanachuo ila pia siungi mkono huu uzi wako. Kwanza kabisa mwanachuo sio mtoto ndo maana anakopeshwa ili kulipia masomo yake. Pia kwa dunia ya leo smartphone inatumika kuliko laptop. Kuhusu kutumia simu kutazama porno hata kwenye laptop inawezekana sana. Mimi nilisoma enzi hakuna smartphone tukawa tunatazama ZE UTAMU kwenye desktop. Kwa hiyo iwe ana simu au bila simu akiamua kufanya ushenzi atafanya tu.
Wazazi/walezi waweke msingi mzuri wa malezi kuanzia utotoni vinginevyo watalaumu teknolojia. Tatizo watoto wengi kwa sasa wanalelewa na ma-housegirl. Wazazi wako bize na kutafuta hela.
Soma wasilisho langu ndio ujenge hojaAcha utetezi mwingi najua unaelewa nilicho maanisha...
Punguza hasira ujenge hojaTeknolojia haikwepeki. Cha muhimu ni kuwafundisha watoto kuwa responsible. Isitoshe chuoni huko wako above 18 ni watu wazima. Hovyo kabisa ww
Acha kutetea upuuzi. Kama ni hivyo watu waendelee kutumia floppy discSmartphone ni kwa ajili ya mawasiliano zaidi ndio maana zilianza laptop
Laptop ndio kifaa cha kusaidia mwanafunzi wa chuo katika masomo yake kuliko smartphone
Nilisoma wakati tunatumia desktop na zilipokuja laptop na smartphone bado nilifanikiwa kuingia darasani
Siku ukiweza kusoma na KUELEWA uje ulete hoja mamaSamia2025Acha kutetea upuuzi. Kama ni hivyo watu waendelee kutumia floppy disc