Wazazi amkeni, simu mnazowanunulia watoto wenu wanazitumia ndivyo sivyo

Wazazi amkeni, simu mnazowanunulia watoto wenu wanazitumia ndivyo sivyo

Kizazi cha sasa huwezi kumzuia simu, utakataa wewe kumnunulia ila atampata wa kumpa simu. Nini nataka kusema hapa, tukae na watoto wetu kuwapa faida na hasara za kutumia simu, wapate elimu sahihi kuhusu matumizi ya simu, ajue athari za kutumia simu vibaya na ajue faida za kutumia simu vizuri. Kumwambia asitumie au kumnyima pesa za kununua simu haiwezi kusaidia kitu zaidi inaongeza tatizo.
 
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Wewe ndio boya andazi kweli kwa hio hio laptop ndio sio simu nani kakudanganya? Shenzitaipu nimeishia hapo sijamaliza uzi hujui ulichoandika
 
Hata wasipokuwa na smart phone watapigana miti tu. Smart phone unazisingizia, tatizo liko vichwani mwao. Ukiona mwanafunzi anatumia simu kutafuta site za ngono ujue asipokuwa na simu atahangaika kutafuta sehemu za kupiga chabo.
 
Back
Top Bottom