Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Wewe nawe ni ng'ombe uliyechangamkaAmkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smart phone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Kwaherini
Mawazo ya kipuuzi kabisa haya.Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smart phone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Kwaherini
Siungi mkono uovu unaofanywa na baadhi ya wanachuo ila pia siungi mkono huu uzi wako. Kwanza kabisa mwanachuo sio mtoto ndo maana anakopeshwa ili kulipia masomo yake. Pia kwa dunia ya leo smartphone inatumika kuliko laptop. Kuhusu kutumia simu kutazama porno hata kwenye laptop inawezekana sana. Mimi nilisoma enzi hakuna smartphone tukawa tunatazama ZE UTAMU kwenye desktop. Kwa hiyo iwe ana simu au bila simu akiamua kufanya ushenzi atafanya tu.Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smart phone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Kwaherini
Uzi wa kijinga zaidi tangu mwaka huu 2025 uanze na karibu tunaelekea ukingoni.Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smart phone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Kwaherini
Tupatie hapa chimbo la laptop nzuri za kuanzia bei tajwa hapoAmkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smart phone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Kwaherini
0786166999 au 0745844999 clicktech KariakooTupatie hapa chimbo la laptop nzuri za kuanzia bei tajwa hapo
MZAZI MWENYE AKILI TIMAMU ASIFATE USHAURI HUU WA KIPUMBAVU.Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smart phone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Kwaherini
ππππππππππ mbona unauwezo mdogo sana wakufikiri .Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smart phone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa kuamini maneno yao. Simu wanazotaka watoto wenu wanazitumia kwa:-
1. Kutukana serikali mitandaoni
2. Kujiingiza katika makundi ya ngono na upuuzi mwingine
3. Kufanya biashara nyingine haramu
Kama unataka kumsaidia mtoto anayeenda chuoni mnunulie "laptop" zipo hadi za 250,000 na utakuwa umemsaidia sana.
Endelea kumfuatilia mienendo yake hata akiwa chuoni usijisahau sababu huko ndio wanaenda kuharibika zaidi kimaadili usipomfuatilia.
Kwaherini
Ngoja ukue maziwa yakiisha mdomoni uje tuongeeππππππππππ mbona unauwezo mdogo sana wakufikiri .
Sasa laptop na simu kitu ni kile kile alafu laptop utaweza beba kirahisi kama simu.
Kwanza issue kuna issue ya ratiba .kama vile kuhama venue atakuwa anatumia laptop muda wote ?
Kuna issue ya kusoma notes ambazo zipo kwenye soft copy na kuna baadhi ya vyuo hamna access ya kuchaji kwenye vibweta vyote kahiyo hiyo pc ya lak 250k aiwez kaa na charge zaid ata ya masaa 4
Kwa hiyo kila kitu kina kazi yake. NB alafu wale watu wameshakuwa wakubwa uwezi mpangia mtu mzima utajitesa tu.
Utalipia hostel yey ataenda kupangishiwa huko na mubaba wakeππ wew uko zako njombe huko uji kitu mtoto yupo dar .wew chakufanya achana naye utachanganyikiwa tuu
Tumia akili kufikiri badala ya hisiaNikajua unahoja kumbe unafanya matangazo ya bidhaa zako za laptop hapo kariakoo mkulungwa...