Wazazi amkeni, simu mnazowanunulia watoto wenu wanazitumia ndivyo sivyo

Wewe ni tatizo mkuu ,ungekuwa karibu ningekupiga risasi leseni ya kuvuna wajinga kama wewe ninayo.
Kabla ya kuwa na uwezo waa kumiliki bunduki ni lazima uwe na ajira na ujitegee sio wa ugali wa kengele kama wewe kutwa kushuka makalio ya ma house maid
 
Kununua laptop ya tsh 250,000/-specs zake ni sawa na kununua simu toleo la 2016 huko kurudi nyuma
 
Smartphone ni kwa ajili ya mawasiliano zaidi ndio maana zilianza laptop
Laptop ndio kifaa cha kusaidia mwanafunzi wa chuo katika masomo yake kuliko smartphone
Nilisoma wakati tunatumia desktop na zilipokuja laptop na smartphone bado nilifanikiwa kuingia darasani
 
Acha kutetea upuuzi. Kama ni hivyo watu waendelee kutumia floppy disc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…