Wazazi hawataki nioe Mwanamke toka Bukoba

Wazazi hawataki nioe Mwanamke toka Bukoba

Haya mambo yanategemea sana asili za wote wawili. Ni kweli kabisa baadhi ya jamii haziwezi kuoana. Ingekuwa vizuri ukaisema asili yako pia ili wananzengo wakupe mwanga.

Kuna mambo mengi sana wazee hawatuambii vijana ila wao ni kutoa makatazo tu mwisho wa siku tunawaona wayeyushaji kumbe wapo na sababu nzito kabisa.
 
Ongeza Kaka, sitaki Dhambi ya kundi ambalo Sina uzoefu nalo, wachaga nawafaham, na wamewakilishwa na WA Machame hapo, ila nimekutana na WA Rombo wazuri tu,

Ongeza list Kaka! Ila usiwaonee, iwe first hand experiences!
Always nasema wa Rombo hawana shida though wana mapungufu kama binadamu yeyote Ila kwa wachaga wote warombo ke, they are best ukilinganisha na Hawa wahaya wachaga wa huko marangu, sjui mwika

Machame kwa ninao wajua familia zao ziko poa, nitakapoona ntarud na ushuhuda

cc secretarybird
 
Wazazi wengi wanataka muoane kama mchaga na mchaga, napo wengine watataka uoe wa pale pale kijijini au kwakua familia fulani Kuna mabinti watachunguza tabia za huyo mama kupitia Hilo ndo wana assess tabia za watoto kupitia mama,

Sjui kwann hawataki kuoa ama kuolewa mbali sana na nyumbn huwa bado selewii mm wazee wanisaidie
 
Always nasema wa Rombo hawana shida though wana mapungufu kama binadamu yeyote Ila kwa wachaga wote warombo ke, they are best ukilinganisha na Hawa wahaya wachaga wa huko marangu, sjui mwika

Machame kwa ninao wajua familia zao ziko poa, nitakapoona ntarud na ushuhuda

cc secretarybird

Nina ushuhuda wa Machame, don't try at home, wakiume are very gentle, Wanawake aisee achana nao kabisa!
 
Wapo sahihi; ila kama muoaji una haki ya kikatiba kukataa, na baadae kujiunga na kataa ndoa!

Kama unaweza jipunguzie shida kwa:

1. Kutooa Mnyiramba.
2. Kutooa Mhaya.
3. Kutooa Mrangi.
4. Kutoa Mbulu.
5. Kutooa Mmachame!

Sio wote wabaya, ila chances kubwa ya wanawake wa hayo makabili aisee ni Matatizo!

Kwa kuwakwepa utakuwa umepunguza kwa asilimia kubwa chances za:

1. Kuishi na mchawi.
2. Kuishi na mshirikina.
3. Kuishi na maigizo ya kilokole.
4. Kuishi na Malaya.
5. Kuishi na wapenda fedha.
..machame ndo dangerous na nusu mamaee!
 
Kabila letu ukizaliwa mtoto wa kiume unaambiwa mapema kabisa usioe muhaya wala mchagga. Binafsi nimeoa MUHAYA na kusema ukweli sijawahi kujutia hata siku moja kuoa Muhaya hata mzee wangu na familia nzima wanampenda mke wangu. Nina miaka na watoto 3 sasa tuko vizuri sana.
NB inawezekana nilibahatika tu lakini kama unaona munaenda vema na huyo bidada weka ndani wazazi wakiona mnaenda vema kwenye ndoa watawapatia baraka zao.
 
Mda mwingine wazazi huwa na reflection ya maisha yetu,, kaa nao chini wasikilize kwa nn hawataki ?
 
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Huyo mwanamke wanaishi nao wao?? Wasikilize kama wana hoja ya msingi.
 
Back
Top Bottom