Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,320
- 16,768
Kitu cha kondoa irangi...baba kaka mjomba yeyote kamata twende kazi!4. Kuishi na Malaya.
Kitu cha kondoa irangi...baba kaka mjomba yeyote kamata twende kazi!4. Kuishi na Malaya.
Kitu cha kondoa irangi...baba kaka mjomba yeyote kamata twende kazi!
Hivi Mmachame sio mchagga 🤔Wapo sahihi; ila kama muoaji una haki ya kikatiba kukataa, na baadae kujiunga na kataa ndoa!
Kama unaweza jipunguzie shida kwa:
1. Kutooa Mnyiramba.
2. Kutooa Mhaya.
3. Kutooa Mrangi.
4. Kutoa Mbulu.
5. Kutooa Mmachame!
Sio wote wabaya, ila chances kubwa ya wanawake wa hayo makabili aisee ni Matatizo!
Kwa kuwakwepa utakuwa umepunguza kwa asilimia kubwa chances za:
1. Kuishi na mchawi.
2. Kuishi na mshirikina.
3. Kuishi na maigizo ya kilokole.
4. Kuishi na Malaya.
5. Kuishi na wapenda fedha.
😂😂😂😂Na : Wanyaturu - Malaya wa kutupa!
Nchi ina mambo hiiNa : Wanyaturu / Wanyiramba - Malaya wa kutupa!
Hawawazidi WAPARENchi ina mambo hii
Wanaogopa kijana wao asije kuzama kama MV BukobaWanaogopa maji mengi
Wapare nao wamo?Hawawazidi WAPARE
Ndio namba 1 dunianiWapare nao wamo?
Wamachame ni wangese asijaribu hata theluthi kudadeki atapunguza siku za kuishi kwa speed ya 5G.Machame zaidi ya Gaza
Mgetta ExpressOngeza na waruguru da popote penye tobo weka wakiwa kwenye vigodoro
Kwa mwandiko wako huu, ungekuwa unakuja kuoa dada yangu kama ningekuwa naye nisingeridhia.Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Mkuu ulichosema Kiko wazi kama ya mbuzi.Always nasema wa Rombo hawana shida though wana mapungufu kama binadamu yeyote Ila kwa wachaga wote warombo ke, they are best ukilinganisha na Hawa wahaya wachaga wa huko marangu, sjui mwika
Machame kwa ninao wajua familia zao ziko poa, nitakapoona ntarud na ushuhuda
cc secretarybird
Hujambo J wa ndegeMkuu ulichosema Kiko wazi kama ya mbuzi.
Huhitaji darubini kulichunguza.
Nii salama salmini habari za mombasa Kenya ?Niko bomba.
U hali gani ndugu yangu?
Huyo mke umeolea familia au umemuoa wewe?? Una umempenda?? Mnapendana??Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali