secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Huku mambo ni swafi tu.Nii salama salmini habari za mombasa Kenya ?
Upepo wa bahati unatupuliza tu.
Huku mambo ni swafi tu.Nii salama salmini habari za mombasa Kenya ?
Ushavuka hapo Likoni ? Au ni hakuna Panton kama hapaHuku mambo ni swafi tu.
Upepo wa bahati unatupuliza tu.
Nikiwa nawowa 😂 ntakueka mmoja wa wazee wa kwenda kuposa mahari haizid laki tano.Huyo mke umeolea familia au umemuoa wewe?? Una umempenda?? Mnapendana??
NB. Heshimu /Waheshimu WAZAZI NDUGU YANGU..MAANA KUISHI KWINGI KUONA MENGI.
I will be there EEENikiwa nawowa 😂 ntakueka mmoja wa wazee wa kwenda kuposa mahari haizid laki tano.
Kafoo, mbe!
Hapa tuko kwenye kibaraza cha mzee Jerry Ocheng tunapiga soga 🤣 za siasa.Ushavuka hapo Likoni ? Au ni hakuna Panton kama hapa
Kaiii na wajaluo wako east ?Hapa tuko kwenye kibaraza cha mzee Jerry Ocheng tunapiga soga 🤣 za siasa.
Kakimbila huku. Si unajua watu hawakai sehemu Moja hasa ukizingatia kuwa Mombasa ni Moja kati ya kaunti maarufu huku +254.Kaiii na wajaluo wako east ?
Fikisha salamu zangu kwa Bi Nimimi yule muigizaji wa tamthiliya ya PETE.Kakimbila huku. Si unajua watu hawakai sehemu Moja hasa ukizingatia kuwa Mombasa ni Moja kati ya kaunti maarufu huku +254.
Juu Mombasa ni kaunti gavana ni Nan ? Mike sonko au 🤔Kakimbila huku. Si unajua watu hawakai sehemu Moja hasa ukizingatia kuwa Mombasa ni Moja kati ya kaunti maarufu huku +254.
Hizo zimefika mkuu, toa wasi.Fikisha salamu zangu kwa Bi Nimimi yule muigizaji wa tamthiliya ya PETE.
Nimekaa huku cha kushangaza gavana wa sasa simjui.Juu Mombasa ni kaunti gavana ni Nan ? Mike sonko au 🤔
Hahahaha unazingua ujue nasikia ni jamaa wa omii d alikuwaNimekaa huku cha kushangaza gavana wa sasa simjui.
Napaswa kuadhibiwa Kwa hili.
Waha wa Kigoma na wangoni vipi???Wapo sahihi; ila kama muoaji una haki ya kikatiba kukataa, na baadae kujiunga na kataa ndoa!
Kama unaweza jipunguzie shida kwa:
1. Kutooa Mnyiramba.
2. Kutooa Mhaya.
3. Kutooa Mrangi.
4. Kutoa Mbulu.
5. Kutooa Mmachame!
Sio wote wabaya, ila chances kubwa ya wanawake wa hayo makabili aisee ni Matatizo!
Kwa kuwakwepa utakuwa umepunguza kwa asilimia kubwa chances za:
1. Kuishi na mchawi.
2. Kuishi na mshirikina.
3. Kuishi na maigizo ya kilokole.
4. Kuishi na Malaya.
5. Kuishi na wapenda fedha.
Waha wa Kigoma na wangoni vipi???
Nadhani ni hivyo.Hahahaha unazingua ujue nasikia ni jamaa wa omii d alikuwa
Nani hataki mama au baba?Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali