Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,051
Always nasema wa Rombo hawana shida though wana mapungufu kama binadamu yeyote Ila kwa wachaga wote warombo ke, they are best ukilinganisha na Hawa wahaya wachaga wa huko marangu, sjui mwikaOngeza Kaka, sitaki Dhambi ya kundi ambalo Sina uzoefu nalo, wachaga nawafaham, na wamewakilishwa na WA Machame hapo, ila nimekutana na WA Rombo wazuri tu,
Ongeza list Kaka! Ila usiwaonee, iwe first hand experiences!
Always nasema wa Rombo hawana shida though wana mapungufu kama binadamu yeyote Ila kwa wachaga wote warombo ke, they are best ukilinganisha na Hawa wahaya wachaga wa huko marangu, sjui mwika
Machame kwa ninao wajua familia zao ziko poa, nitakapoona ntarud na ushuhuda
cc secretarybird
Wapoje?Nina ushuhuda wa Machame, don't try at home, wakiume are very gentle, Wanawake aisee achana nao kabisa!
Wapoje?
kabbisaa itakuwa hivyo!Hawatak upewe katerero?
..machame ndo dangerous na nusu mamaee!Wapo sahihi; ila kama muoaji una haki ya kikatiba kukataa, na baadae kujiunga na kataa ndoa!
Kama unaweza jipunguzie shida kwa:
1. Kutooa Mnyiramba.
2. Kutooa Mhaya.
3. Kutooa Mrangi.
4. Kutoa Mbulu.
5. Kutooa Mmachame!
Sio wote wabaya, ila chances kubwa ya wanawake wa hayo makabili aisee ni Matatizo!
Kwa kuwakwepa utakuwa umepunguza kwa asilimia kubwa chances za:
1. Kuishi na mchawi.
2. Kuishi na mshirikina.
3. Kuishi na maigizo ya kilokole.
4. Kuishi na Malaya.
5. Kuishi na wapenda fedha.
Hii comment imegongelea msumari!Nina ushuhuda wa Machame, don't try at home, wakiume are very gentle, Wanawake aisee achana nao kabisa!
Nilijua tu jaribu hata watani zangu watakataliwa😂Wapare nao hawawataki
Wapelekee mdigo au mndengerekoWapare nao hawawataki
Mndengereko wa wapi? Bungu ? Kibiti? Mchukwi? Ikwiriri? Somanga? Muhoro?Wapelekee mdigo au mndengereko
PwaniMndengereko wa wapi? Bungu ? Kibiti? Mchukwi? Ikwiriri? Somanga? Muhoro?
Huyo mwanamke wanaishi nao wao?? Wasikilize kama wana hoja ya msingi.Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali