Wazazi hawataki nioe Mwanamke toka Bukoba

Hivi Mmachame sio mchagga 🤔
 
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Kwa mwandiko wako huu, ungekuwa unakuja kuoa dada yangu kama ningekuwa naye nisingeridhia.

So, pamoja na wazazi wako kumkataa huyo binti bado walifanya uzembe kwenye malezi yako
 
Mkuu ulichosema Kiko wazi kama ya mbuzi.

Huhitaji darubini kulichunguza.
 
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Huyo mke umeolea familia au umemuoa wewe?? Una umempenda?? Mnapendana??

NB. Heshimu /Waheshimu WAZAZI NDUGU YANGU..MAANA KUISHI KWINGI KUONA MENGI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…