Wazazi hawataki nioe Mwanamke toka Bukoba

Naunga mkono HOJA za wazazi..... Wapo sahihi KWA 💯 ina una uhuru WA KIKATIBA WA kujiingiza shimoni mwenyewe
 
Waha wa Kigoma na wangoni vipi???
 
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Nani hataki mama au baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…