Wazazi hawataki nioe Mwanamke toka Bukoba

J
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Hawakutakii mema.
 
Mkuu wasandawe vipi???
 
Anaye oa ni wewe sio wao.. Labda wakupe strong reasons. Lakini mwisho wa siku ndoa ni ya wawili
Na yakihuma watahusika kwa kiasi kikubwa, ndoa za kiafrika sio za wawili.
 
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Mawazo ya walionitangulia huwa nayakumbuka sana. Sometimes huwa nasema bora ningewasikiliza. Kuna mambo yanahitaji uhesabu ghalama licha kufuata upendo. Moyo ni mdanganyifu.

Kuna kabila ukioa kile ambacho kwenu ni Yes kwao ni No and ambacho kwenu ni No kwao ni Yes. Ni mwendo wa kuvurugana tu.

Ndoa ni muunganiko wa koo mbili sio nyinyi peke yenu
 
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Unaoaje mwanamke wa bukoba, wazazi wapo sahihi, kimbia mbio tafuta mwanamke mwenye future

Hao wa hukoba wanaoanaga wenyewe kwa wenyewe na wanawezana wenyewe,nje ya hapo hakuna ndoa
 
Wengi mambo ya ndoa wataanza kuyaona rangi rangi baada ya miaka kadhaa ya kupata watoto na nk... Yaani ile kuzoeana...Kama ukijaaliwa ni Bora uoe kwenye kabila lenu au mtu mnayefahamiana vizuri, zamani watu walikuwa wanaoa wanaowajua yaani kama wahindi na waarabu wanavyofanya, siku hizi ni ngumu sababu ya mihangaiko. Tumechukua mkondo wa kimagharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…